-
Ebrahim Raisi: Usalama wa ukanda huu mzima una deni kwa Luteni Jenerali Soleimani
Jan 06, 2024 06:52Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, usalama na amani iliyopo leo katika eneo hili inatokana na jihadi kubwa ya Luteni Jenerali Qassem Soleimani, Kamanda wa zamani wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu SEPAH.
-
Uchaguzi wa urais wa 2024 na kuongezeka hatari ya ugaidi ndani ya Marekani
Jan 02, 2024 02:48Jena Marie Griswold, Waziri wa Mambo ya Ndani wa Jimbo la Colorado nchini Marekani, amesema kuwa ametishiwa maisha mara kadhaa baada ya kuwasilisha malalamiko yaliyopelekea kuondolewa jina la Donald Trump, mgombea wa chama cha Republican katika uchaguzi wa rais wa Marekani mwaka huu wa 2024 kwenye orodha ya wagombea katika jimbo hilo.
-
Kutiwa saini mkataba mpya wa usalama; Muungano wa kijeshi kati ya Mali, Niger na Burkina Faso
Sep 18, 2023 02:40Baada ya kupita miezi kadhaa ya kushuhudiwa matukio ya kisiasa katika baadhi ya nchi za Kiafrika kama Mali na Burkina Faso na kuundwa serikali za kijeshi katika nchi hizo; hivi sasa nchi tatu yaani Niger, Burkina Faso na Mali zimesaini mkataba wa pamoja wa usalama ulipewa jina la " Muungano wa Nchi za Sahel."
-
Mahudhurio ya kwanza rasmi ya Iran katika kikao cha Baraza la Kupambana na Ugaidi la Shanghai; hatua muhimu ya ushirikiano wa kiusalama nje ya mipaka
Sep 10, 2023 07:56Kufuatia uanachama kamili wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai, ujumbe kutoka Iran umeshiriki kwa mara ya kwanza katika mkutano wa 40 wa Baraza la Muundo wa Kieneo wa Kupambana na Ugaidi la jumuiya hiyo.
-
Askari kadhaa wa Somalia wauawa katika mripuko wa bomu Mogadishu
Aug 11, 2023 02:18Wanajeshi kadhaa wa Somalia wamepoteza maisha baada ya gari lililokuwa limewabeba kukanyaga bomu katika mji mkuu wa nchi hiyo Mogadishu.
-
Makumi wauawa katika shambulizi la magaidi wa ISWAP Nigeria
Jul 27, 2023 10:19Makumi ya watu wameuawa nchini Nigeria katika shambulizi la kundi la kigaidi la ISIS au Daesh tawi la Afrika Magharibi (ISWAP).
-
Ecowas: Afrika Magharibi imesajili mashambulizi ya kigaidi zaidi ya 1,800 hadi sasa
Jul 27, 2023 02:30Omar Touray Mwenyekiti wa Kamisheni ya Jumuiya ya Ecowas amesema katika kikao cha Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuwa watu laki tano katika Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Magharibi mwa Afrika (Ecowas) yenye nchi wanachama 15 ni wakimbizi. Ameongeza kuwa watu wengine karibu milioni 6 na laki mbili wamekuwa wakimbizi wa ndani katika nchi hizo za magharibi mwa Afrika.
-
Kutiwa nguvuni wanachama wa mtandao mkubwa zaidi wa kigaidi wenye mfungamano na utawala wa Kizayuni wa Israel nchini Iran
Jul 26, 2023 08:07Wizara ya Usalama wa Taifa ya Iran imetangaza kuwa imewatia mbaroni wanachama wa mtandao mkubwa zaidi wa kigaidi wenye mfungamano na utawala wa Kizayuni wa Israel katika mikoa kadhaa nchini.
-
UN yalaani shambulizi la kigaidi Uganda, waliouawa ni zaidi ya 40
Jun 18, 2023 07:45Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres amelaani vikali shambulizi la kigaidi lililoua makumi ya wanafunzi katika eneo la Mpondwe, magharibi mwa Uganda.
-
Rais wa Iran: Syria imeibuka na ushindi licha ya vitisho na vikwazo
May 03, 2023 11:40Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, serikali ya Syria pamoja na wananchi wa nchi hiyo wamepitia masaibu na matatizo mengi na hii leo taifa hilo limeweza kuibuka ushindi.