Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Uganda

  • Museveni kuwakutanisha ana kwa ana Rais wa Sudan Kusini na Machar

    Museveni kuwakutanisha ana kwa ana Rais wa Sudan Kusini na Machar

    Nov 05, 2019 04:29

    Rais Yoweri Museveni wa Uganda anatazamiwa kuwa mwenyeji wa mkutano wa ana kwa ana baina ya Rais Salva Kiir wa Sudan Kusini na kinara wa upinzani Riek Machar jijini Kampala.

  • Bunge la Uganda lataka kuondolewa nyongeza ya karo Chuo Kikuu Makerere + Sauti

    Bunge la Uganda lataka kuondolewa nyongeza ya karo Chuo Kikuu Makerere + Sauti

    Nov 01, 2019 12:58

    Bunge la Uganda limependekeza kuondolewa nyongeza ya karo baada ya kuongezeka maandamano na upinzani mkubwa wa wanachuo wa Chuo Kikuu cha Makerere. Maelezo zaidi na mwandishi wetu wa Kampala, Kigozi Ismail.

  • SAUTI, Rais Museven wa Uganda: Russia ilizisaidia sana nchi za Afrika kudai uhuru wao, hivyo iendeleze roho hiyo

    SAUTI, Rais Museven wa Uganda: Russia ilizisaidia sana nchi za Afrika kudai uhuru wao, hivyo iendeleze roho hiyo

    Oct 25, 2019 12:30

    Rais Yoweri Museven wa Uganda ameitaka Russia kupanua zaidi ushirikiano wake na mataifa ya Afrika huku akiipongeza nchi hiyo kutokana na juhudi zake za kusaidia harakati za kujikomboa za nchi za bara hilo.

  • Uganda yawatia mbaroni watu 16 kwa kushiriki vitendo vya ubaradhuli

    Uganda yawatia mbaroni watu 16 kwa kushiriki vitendo vya ubaradhuli

    Oct 24, 2019 13:14

    Serikali ya Uganda imewatia mbaroni wanaharakati 16 kwa tuhuma za kushiriki vitendo vya ubaradhuli nchini humo.

  • Uganda yawapa chanjo ya surua na polio watoto milioni 18

    Uganda yawapa chanjo ya surua na polio watoto milioni 18

    Oct 16, 2019 04:02

    Wizara ya Afya ya Uganda kwa kushirikiana na Shirika la Afya Duniani WHO zinatazamiwa kuanza kuwapa chanjo za surua (measles) na ugonjwa wa kupooza (polio) watoto milioni 18 wenye chini ya umri wa miaka 15 nchini humo.

  • WHO: Kujiua ndiyo sababu kuu ya vifo vya watu nchini Uganda

    WHO: Kujiua ndiyo sababu kuu ya vifo vya watu nchini Uganda

    Oct 14, 2019 07:04

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza kuwa karibu asilimia 10 ya vifo vya watu nchini Uganda vinatokana na kujiua.

  • Marekani, EU: Tunawaunga mkono mabaradhuli wa Uganda

    Marekani, EU: Tunawaunga mkono mabaradhuli wa Uganda

    Oct 12, 2019 04:35

    Marekani na nchi za Ulaya zimetiwa kiwewe na azma ya Uganda ya kutoa adhabu ya kifo kwa watu watakaopatikana na hatia ya kushiriki vitendo vya ubaradhuli nchini humo.

  • Jumatano, tarehe 9 Oktoba, 2019

    Jumatano, tarehe 9 Oktoba, 2019

    Oct 08, 2019 23:01

    Leo ni Jumatano tarehe 10 Safar 1441 Hijria sawa na Oktoba 9 mwaka 2019.

  • Uganda yapongeza

    Uganda yapongeza "Ubunifu wa Amani ya Hormuz" wa Iran

    Sep 27, 2019 10:28

    Waziri Mkuu wa Uganda amepongeza na kukaribisha mpango wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wa "Ubunifu wa Amani ya Hormuz."

  • SAUTI, Huku mkutano wa CPC ukianza nchini Uganda, weledi wamekosoa vikao hivyo kuwa havina faida kwa Afrika

    SAUTI, Huku mkutano wa CPC ukianza nchini Uganda, weledi wamekosoa vikao hivyo kuwa havina faida kwa Afrika

    Sep 23, 2019 13:35

    Mkutano wa nchi za Jumuiya ya Madola umeanza shughuli zake mjini Kampala, Uganda kwa kuhudhuriwa na wajumbe kutoka nchi zaidi ya 40.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS