Bunge la Uganda lataka kuondolewa nyongeza ya karo Chuo Kikuu Makerere + Sauti
Nov 01, 2019 16:28 UTC
Bunge la Uganda limependekeza kuondolewa nyongeza ya karo baada ya kuongezeka maandamano na upinzani mkubwa wa wanachuo wa Chuo Kikuu cha Makerere. Maelezo zaidi na mwandishi wetu wa Kampala, Kigozi Ismail.
Tags