-
DRC yaangamiza ugonjwa wa meningitis Tshopo
Dec 25, 2021 08:42Hatimaye Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC imetangaza kuwa mlipuko wa ugonjwa wa homa ya uti wa mgongo au meningitis katika jimbo la Tshopo kaskazini-mashariki mwa nchi hiyo, umetokomezwa.
-
Watu tisa wapoteza maisha kufuatia mlipuko wa kipindupindu DRC
Dec 18, 2021 12:57Mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu umepelekea watu wasiopungua tisa kupoteza maisha katika jimbo la Haut-Lomami, nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.
-
Maelfu ya watu wakumbwa na tatizo la kuhara baada ya maji ya mto kuchafuka, Kongo
Sep 01, 2021 02:52Maafisa wa afya katikka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wameripoti kuwa, maelfu ya watu wamepatwa na tatizo la kuhara katika jimbo la Kasai katikati mwa nchi hiyo baada ya raia kutumia maji machafu na samaki waliokufa kutoka katika ziwa ambalo maji yake yamechafuka.
-
Ivory Coast yarekodi kisa cha kwanza cha Ebola katika miaka 25
Aug 15, 2021 13:28Waziri wa Afya wa Ivory Coast ametangaza kuwa nchi hiyo imesajili kisa cha kwanza cha virusi vya kutokwa na damu vya Ebola ikiwa ni mara ya kwanza katika kipindi cha miaka 25.
-
WHO yahofia vifo zaidi vya kifua kikuu kutokana na kuongezeka maambukizi ya Covid-19
Oct 15, 2020 11:56Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO) limeonya juu ya "ongezeko kubwa" la vifo vinavyosababishwa na kifua kikuu (TB) katika miaka ijayo, kama matokeo ya matatizo yanayosababishwa na janga la corona na uhaba unaoendelea wa fedha. WHO imesema hayo katika ripoti yake ya kila mwaka juu ya juhudi za ulimwengu za kupambana na ugonjwa huo.
-
Mafundisho ya afya na usafi ya Uislamu, suluhisho la kukabiliana na corona
Jun 18, 2020 05:41Afya na siha ni neema kubwa ya Mwenyezi Mungu ambayo thamani yake huonekana vyema wakati mwanadamu anapopatwa na maradhi.
-
242 waaga dunia China kwa Corona katika siku moja, maafisa wa afya Wuhan wafutwa kazi kwa uzembe
Feb 13, 2020 12:06Idadi ya watu walioaga dunia kutokana na virusi vya Corona (COVID-19) nchini China imeongeza baada ya Jumatano ya jana kusajiliwa vifo vya wahanga 242 wa virusi hivyo katika siku moja tu katika mkoa wa Wuhan na maambikizi ya wengine elfu 15.
-
Nchi za Afrika zachukua tahadhari ya kukabiliana na virusi vya Corona
Jan 24, 2020 14:56Nchi za Afrika mashariki zimetangaza hatua na mipango ya kukabiliana na virusi vya Corona vinavyosababisha maradhi ya kupumua huku idadi ya watu waliofariki dunia kutokana na mlipuko wa virusi hivyo nchini China ikiongezeka na kufikia 26.
-
"Kirusi cha China" chazusha hofu duniani, watu 6 wameaga dunia hadi sasa
Jan 21, 2020 12:41Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza kuwa, litafanya kikao kesho Jumatano kutazama uwezekano wa kutangaza tahadhari ya kimataifa ya afya ya umma baada ya China kuthibitisha kwamba, kirusi hicho kinaambukizwa kupitia mawasiliano baina ya binadamu.
-
Idadi ya askari wanaokimbia kuhudumu jeshini Israel yaongezeka
Nov 09, 2019 07:52Idadi ya askari wanaokimbia kuhudumu ndani ya jeshi la utawala haramu wa Kizayuni Israel, imezidi kuongezeka huku suala la matatizo ya kisaikolojia likitajwa kuwa ndio sababu.