-
WHO, UNICEF zatia nia ya kuwalinda na kipindupindu watu milioni 1.6 nchini Sudan
Oct 02, 2019 11:16Shirika la Afya Duniani (WHO) na lile la UNICEF yanashirikiana na maafisa wa Sudan kulinda usalama wa zaidi ya watu milioni moja na nusu kutokana na ugonjwa wa kipindupindu nchini humo.
-
Ugonjwa wa surua waua maelfu ya watu Congo DR
Aug 18, 2019 07:51Shirika la Madatari Wasio na Mpaka (MSF) limeripoti kuwa zaidi ya watu 2700 wameaga dunia katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kutokana na ugonjwa wa surua.
-
Wayemen karibu nusu milioni wanakabiliwa na kipindupindu
Jul 09, 2019 08:20Wimbi jipya la maradhi ya kipindupindu linashuhudiwa nchini Yemen ambapo kesi zaidi ya 460,000 za maradhi hayo zimeripotiwa kuanzia Januari mwaka huu hadi sasa.
-
WHO: Watu Milioni 50 wanaugua ugonjwa wa kusahau duniani
May 15, 2019 03:41Shirika la Afya Duniani WHO limesema watu takriban milioni 50 kote ulimwenguni wanaugua ugonjwa wa kusahau (Dementia) huku idadi hii ikitabiriwa kuongezeka mara tatu ifikapo mwaka 2050.
-
Zaidi ya watu 1000 wamekumbwa na ugonjwa wa kipindupindu nchini Msumbiji
Apr 02, 2019 13:50Viongozi wa idara ya Msumbiji wametangaza kwamba zaidi ya watu 1000 wameambukizwa maradhi ya kipindupindu nchini humo.
-
Makumi ya Wayemeni waaga dunia kwa ugonjwa wa dondakoo (Diptheria)
Oct 21, 2018 23:21Wizara ya Afya ya Yemen imetangaza kuwa tangu mwaka mmoja uliopita hadi sasa watu 141 wameaga dunia kwa ugonjwa wa dondakoo; wengi wakiwa ni watoto wadogo.
-
Seneta Bernie Sanders: Trump ana maradhi ya kusema uongo
Aug 06, 2018 13:05Seneta wa jimbo la Vermont nchini Marekani, Bernie Sanders amemkosoa vikali Rais Donald Trump wa nchi hiyo kwamba, anawahadaa wapiga kura kwa kuwaambia uongo.
-
Nchi za kusini mwa Afrika kushirikiana kupambana na Listeria
Mar 16, 2018 07:23Nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi Kusini mwa Afrika (SADC) zimekubaliana kushirikiana kupambana na ugonjwa wa listeriosis ulioibuka nchini Afrika Kusini.
-
Homa ya mafua imeshaua watu 231 nchini Uingereza
Feb 02, 2018 08:00Gazeti la Daily Mail linalochapishwa nchini Uingereza limeripoti kuwa watu 231 wamefariki dunia nchini humo kutokana na maambukizi ya kirusi cha homa ya mafua.
-
WHO yaonya kuwa usugu wa viuavijasumu (antibiotics) ni tishio duniani
Jan 30, 2018 08:01Takwimu zilizotolewa na Shirika la Afya Duniani WHO kuhusu usugu wa viuavijasumu au antibiotics zinaonyesha kuwa juu sana kiwango cha usugu wa dawa hizo dhidi ya maradhi kadhaa yanayosababishwa na bakteria kote duniani.