-
Muirani avumbua njia ya kuwezesha kutibu ugonjwa wa Mfumo wa Neva (MS)
Dec 19, 2017 13:42Mwanabiolojia Muirani, kwa mara ya kwanza duniani, amevumbua njia ya kuwezesha kutibu ugonjwa wa Mfumo wa Neva (Multiple Sclerosis) maarufu kama MS.
-
Watoto wa Yemen zaidi ya elfu 50 watapoteza maisha hadi mwishoni mwa mwaka huu wa 2017
Nov 15, 2017 15:28Kundi Moja la Kimataifa la Utoaji Misaada limetahadharisha kuwa hadi kufikia mwisho wa mwaka huu idadi ya watoto wataoaga dunia kwa magonjwa na njaa vilivyosababishwa na vita huko Yemen watafikia zaidi ya elfu 50.
-
UN: Kipindupindu kimeua zaidi ya watu 530 Somalia
Apr 14, 2017 03:56Umoja wa Mataifa na jumuiya za misaada ya kibinadamu zimeonya kwamba kipindupindu kinaenea kwa kasi katika maeneo yaliyoathirika na ukame nchini Somalia wakati nchi hiyo ikiendelea kunyemelewa na hatari kubwa ya baa la njaa.
-
Makumi ya watu waaga dunia kwa malaria Zimbabwe
Mar 28, 2017 03:54Wizara ya Afya ya Zimbabwe imetangaza kuwa watu wasiopungua 150 wamefariki dunia kwa ugonjwa wa malaria nchini Zimbabwe katika muda wa miezi miwili iliyopita.
-
Ripoti: Nimonia inaua watoto wengi bara Afrika
Nov 12, 2016 07:55Asilimia 60 ya vifo milioni 5.9 vya watoto wadogo wenye umri wa chini ya miaka 5 vilivyotokea mwaka jana katika nchi za Afrika na Asia vilitokana na ugonjwa wa kichomi au nimonia.
-
Kenya kuwa makao makuu ya Kituo cha Udhibiti wa Magonjwa cha Afrika Mashariki
Jun 12, 2016 04:30Kenya imeteuliwa kuwa makao makuu ya kanda ya Kituo cha Kuratibu Udhibti wa Magonjwa Afrika, CDC-Africa, ili kufuatilia afya ya umma na changamoto katika nchi za Afrika Mashariki.
-
Serikali: Mripuko wa kipindupindu umeua watu 45 Zanzibar
Apr 28, 2016 15:15Wizara ya Afya ya Zanzibar imesema kwa akali watu 45 wamepoteza maisha kutokana na mripuko wa kipindupindu tangu mwezi uliopita wa Machi hadi sasa.
-
Kipindupindu chaua watu kadhaa Zambia
Apr 14, 2016 04:52Watu kadhaa wamepoteza maisha kutokana na kusambaa ugonjwa wa kipindupindu katika mji mkuu wa Zambia, Lusaka.