-
Ulimwengu wa Michezo, Jan 15
Jan 15, 2018 02:46Hujambo mpenzi mwanaspoti na karibu katika dakika hizi chache za kutupia jicho baadhi ya matukio muhimu ya spoti, yaliyojiri ndani ya siku saba zilizopita, ndani na nje ya nchi.
-
Uhispania yaendelea kuiuzia silaha Saudi Arabia, zinatumika kuua raia wa Yemen
Dec 28, 2017 08:33Ripoti za Wizara ya Biashara ya Uhispania inaonesha kuwa, katika kipindi cha miezi sita ya mwanzoni mwaka huu wa 2017 serikali ya nchi hiyo imeidhinisha mauzo ya silaha na mizinga yenye thamani ya zaidi ya Euro milioni 141 kwa utawala wa Saudi Arabia.
-
Mahakama Kuu Uhispania: Ole wake Carles Puigdemont asipohudhuria kotini
Nov 03, 2017 00:50Mahakama Kuu ya Uhispania imemuonya rais wa eneo la Catalonia, kaskazini mashariki mwa nchi hiyo aliyeuzuliwa madarakani kwa kutohudhuria mahakamani.
-
Mahakama ya Uhispania yatengua 'uhuru' wa Catalonia
Oct 31, 2017 10:08Mahakama ya Katiba nchini Uhispania imebatilisha azimio lililopasishwa na bunge la eneo la Catalonia la kutangaza uhuru wa eneo hilo Ijumaa iliyopita.
-
Catalonia yajitangazia rasmi uhuru wake, Uhispania yaivua mamlaka ya kujiendeshea mambo yake
Oct 27, 2017 23:07Bunge la eneo la Catalonia nchini Uhispania limeupigia kura ya 'ndiyo' mpango wa kujitangazia uhuru rasmi na kujitenga na Uhispania huku Baraza la Seneti la serikali kuu ya Madrid likipitisha uamuzi unaoruhusu kulinyang'anya eneo hilo mamlaka liliyokuwa nayo ya kujiendeshea mambo yake.
-
Catalonia: Ikiwa rais wetu atauzuliwa na serikali ya Uhispania, tutafanya uasi wa kiraia
Oct 24, 2017 01:14Mrengo unaotaka kujitenga eneo la Catalonia nchini Uhispania, umetangaza kuwa ikiwa serikali kuu ya nchi hiyo itamuuzulu kiongozi wao, basi utaanzisha uasi wa kiraia.
-
Jumapili, Oktoba 22, 2017
Oct 21, 2017 23:38Leo ni Jumapili tarehe pili Swafar Mfungo tano 1439 Hijria, mwafaka na tarehe 22 Oktoba 2017 Miladia.
-
Mahakama ya Katiba ya Uhispania yapinga kura ya maoni ya kujitenga Catalonia
Oct 17, 2017 23:19Mahakama ya Katiba ya Uhispania imetangaza kuwa kura ya maoni ya kujitenga eneo la Catalonia haikuwa halali.
-
Jumatano tarehe 18 Oktoba, 2017
Oct 17, 2017 23:17Leo ni Jumatano tarehe 27 Mfunguo Nne Muharram 1439 Hijria sawa na Oktoba 18, 2017
-
Alkhamisi tarehe 12 Oktoba, 2017
Oct 11, 2017 23:15Leo ni Alkhamisi tarehe 21 Muharram 1439 Hijria, sawa na tarehe 12 Oktoba mwaka 2017.