-
Mahakama ya Katiba Uhispania yafuta kikao cha Bunge la Catalonia
Oct 06, 2017 00:38Mahakama ya Katiba ya Uhispania imefuta kikao kilichokuwa kimepangwa kufanywa na Bunge la eneo la Catalonia kwa ajili ya kutangaza rasmi kujitenga eneo hilo.
-
Mshukiwa mkuu wa mashambulizi ya kigaidi Barcelona auawa
Aug 21, 2017 22:52Polisi ya Uhispania imemuua Younes Abouyaaqoub aliyetekeza shambulio la kigaidi la Alkhamisi wiki iliyopita katika mji wa Barcelona.
-
Vituo viwili vya Kiislamu vyashambuliwa na kundi lenye chuki za kidini Uhispania
Aug 21, 2017 03:46Vituo viwili vya Kiislamu vimeshambuliwa na kundi la watu wenye chuki dhidi ya dini ya Kiislamu nchini Uhispania.
-
Matukio ya kigaidi ya Uhispania, kisingizio cha kuzidishwa hatua za kiusalama kukabiliana na wahajiri
Aug 20, 2017 21:50Ripoti mpya ya Shirika la Wahajiri Duniani (IOM) imesema kwamba, idadi ya wahajiri wanaoingia nchini Uhispania imeongezeka.
-
Mamia ya Waislamu waandamana dhidi ya ugaidi nchini Uhispania
Aug 20, 2017 02:29Mamia ya Waislamu katika mji wa Barcelona kaskazini mashariki mwa Uhispania wamefanya maandamano kulaani na kupinga mashambulizi mawili ya kigaidi yaliyotokea nchini humo siku chache zilizopita.
-
Mashambulizi ya kigaidi ya Uhispania
Aug 18, 2017 08:41Shambulizi la kigaidi lililotokea jana katika mji wa Barcelona nchini Uhispania limezusha wahka na wasiwasi mkubwa katika mji huo na miji mingine ya nchi hiyo.
-
Jumapili 7 Mei
May 06, 2017 22:07Leo ni Jumapili tarehe 10 Sha'aban 1438 Hijria, sawa na tarehe 7 Mei 2017.
-
Jumanne, tarehe 25 Aprili, 2017
Apr 24, 2017 21:57Leo ni Jumanne 27 Rajab 1438 Hijria sawa na 25 Aprili, 2017.
-
Jumamosi, Aprili 22, 2017
Apr 21, 2017 23:16Leo ni Jumamosi tarehe 24 ya mwezi Rajab 1438 Hijria sawa na tarehe 22 Aprili mwaka 2017 Miladia.
-
Jumatano, 12 Aprili, 2017
Apr 12, 2017 22:55Leo ni Jumatano tarehe 14 Rajab 1438 Hijria sawa na 12 Aprili 2017.