-
Mfalme Charles aungama kuhusu 'sura chungu' ya ukoloni wa Uingereza, miito ya kulipa fidia yatolewa
Oct 26, 2024 02:29Mfalme Charles III ameungama kuhusu "sura chungu" ya utawala wa kikoloni wa Uingereza duniani huku kukitolewa miito ya kulipwa fidia ya utumwa ulioendeshwa na mkoloni huyo mkongwe.
-
Jumamosi, 12 Oktoba, 2024
Oct 11, 2024 23:17Leo ni Jumamosi 8 Mfunguo Saba Rabiuthani 1446 Hijria mwafaka na 12 Oktoba 2024 Miladia.
-
Sisitizo la Waziri Mkuu wa Uhispania juu ya jibu kali la jamii ya kimataifa kwa jinai za utawala wa Israel
Oct 10, 2024 02:28Waziri Mkuu wa Uhispania ametaja oparesheni ya kijeshi ya utawala habithi wa Israeli huko Lebanon kuwa "uvamizi" na kusisitiza kwamba jamii ya kimataifa inapasa kuchukua hatua kuhusu suala hilo.
-
Rais Samia azijibu balozi za Ulaya: Tanzania ni nchi huru, isielekezwe cha kufanya katika mambo yake
Sep 18, 2024 02:33Rais Samia Suluhu Hassan wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amejibu matamko ya balozi zinazowakilisha mataifa mbalimbali nchini humo, yaliyotaka ufanyike uchunguzi wa haraka wa matukio ya utekaji na mauaji ya watu akisema, Tanzania ni nchi huru, hivyo haipaswi kuelekezwa cha kufanya kwenye mambo yake.
-
Jumatano, tarehe 17 Julai, 2024
Jul 16, 2024 22:55Leo ni Jumatano tarehe 11 Mfunguo Nne Muharram 1446 Hijria, sawa na tarehe 17 Julai mwaka 2024.
-
Jumatatu, 15 Julai, 2024
Jul 14, 2024 23:23Leo ni Tarehe 9 Mfunguo Nne Muharram 1446 Hijria inayosadifiana na tarehe 15 Julai mwaka 2024.
-
Uhispania: NATO inapaswa kuacha undumakuwili kuhusu Ukraine na Gaza
Jul 12, 2024 07:58Waziri Mkuu wa Uhispania ametoa wito kwa wanachama wa Shirika la Kijeshi la Nchi za Magharibi (NATO) kuheshimu sheria za kimataifa kwa kiwango sawa kuhusiana na Gaza na Ukraine bila "kutumia misimamo na sera za kindumakuwili".
-
Ijumaa, tarehe 5 Julai, 2024
Jul 04, 2024 22:48Leo ni Ijumaa tarehe 28 Dhulhija 1445 Hijria inayosadifiana na tarehe 5 Julai mwaka 2024.
-
Jumapili, 23 Juni, 2024
Jun 22, 2024 23:13Leo nii Jumapili 16 Mfunguo Tatu Dhul-Hiija 1445 Hijria sawa na 23 Juni 2024 Miladia.
-
Waziri Mkuu wa Uhispania ayataka mataifa ya Ulaya kuitambua rasmi Palestina
Jun 14, 2024 04:02Pedro Sanchez, Waziri Mkuu wa Uhispania ameyataka mataifa ya Ulaya kuitambua rasmi Palestina kama nchi na dola huru.