-
Uhispania yajiunga na kesi ya Afrika Kusini ICJ dhidi ya Israel
Jun 06, 2024 23:15Siku chache baada ya Uhispania kutangaza kulitambua rasmi taifa la Palestina, nchi hiyo ya Ulaya imetuma ombi la kujiunga kwenye kesi ya Afrika Kusini katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ), dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel unaotenda jinai dhidi ya binadamu huko Gaza.
-
Uhispania, Ireland na Norway zaitambua rasmi Palestina
May 29, 2024 00:17Uhispania, Ireland na Norway jana zilipasisha rasmi mpango wa kutambua rasmi Palestina, katika uamuzi ulioratibiwa hatua ambayo imeongeza himaya na uungaji mkono kwa Palestina barani Ulaya.
-
Makundi ya Muqawama yatoa tamko kuhusu uamuzi wa nchi za Ulaya kuitambua nchi ya Palestina
May 24, 2024 06:50Makundi ya Muqawama ya Palestina yametoa mjibizo kwa utayarifu uliotangazwa na nchi kadhaa za Ulaya wa kuitambua nchi huru ya Palestina kwa kueleza kwamba hatua hiyo ni mabadiliko makubwa katika msimamo wa nchi mbalimbali duniani katika kuunga mkono piganio tukufu la taifa la Palestina.
-
Jumanne, Mei 7, 2024
May 06, 2024 22:45Leo ni Jumanne tarehe 28 Mfunguo Mosi Shawwal 1445 Hijria sawa na tarehe 7 Mei 2024.
-
Ijumaa, 12 Aprili, 2024
Apr 11, 2024 23:59Leo ni Ijumaa tarehe 3 Shawwal 1445 Hijria sawa na tarehe 12 Aprili 2024.
-
Sisitizo la Rais wa Chile na Waziri Mkuu wa Uhispania la kutekelezwa usitishaji vita haraka huko Ghaza
Mar 11, 2024 04:17Waziri Mkuu wa Uhispania na Rais wa Chile, pamoja na kulaani mashambulizi ya jeshi la Israel huko Ghaza, wametaka kusitishwa mara moja mapigano hayo.
-
Uhispania, Ireland zaitaka EU kutazama upya uhusiano wake na Israel
Feb 15, 2024 04:11Waziri Mkuu wa Uhispania, Pedro Sanchez, amesema kuwa nchi yake na Ireland zimeiomba rasmi Kamisheni ya Ulaya kupitia upya uhusiano wake na Israel haraka iwezekanavyo. Sanchez amesema haya huku utawala wa Kizayuni wa Isarel ukiendeleza mashambulizi dhidi ya eneo la Rafah, kusini mwa Ukanda wa Gaza.
-
Uhispania kuipatia UNRWA msaada wa dharura wa dola milioni 3.8
Feb 05, 2024 23:27Waziri wa Mambo ya Nje wa Uhispania alitangaza jana Jumatatu kwamba nchi yake itatuma euro milioni 3.5 sawa na dola za Kimarekani milioni 3.8 kama msaada wa dharura kwa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi wa Palestina (UNRWA).
-
Maelfu waandamana Madrid kuliunga mkono taifa la Palestina
Jan 28, 2024 09:58Maelfu ya wananchi wa Uhispania kwa mara nyingine tena wamemiminika katika barabara za mji mkuu wa nchi hiyo, Madrid kutangaza uungaji mkono wao kwa wananchi wanaodhulumiwa wa Palestina hasa wa Ukanda wa Gaza, na vilevile kulaani mauaji ya kimbari yanayofanywa na utawala haramu wa Israel katika ukanda huo.
-
Indhari ya Uhispania kuhusu matukio ya eneo na ya kimataifa ya vita vya Gaza
Jan 18, 2024 23:57Pedro Sánchez, Waziri Mkuu wa Uhispania ameonya kuwa, usalama na uthabiti wa eneo la Asia Magharibi (Mashariki ya Kati) umekuwa hatarini na kwamba, mashambulizi haya yanahatarisha nidhamu na uratibu wa ushirikiano wa pande kadhaa.