-
Jumatatu tarehe 12 Oktoba 2020
Oct 12, 2020 03:06Leo ni Jumatatu tarehe 24 Saffar 1442 Hijria sawa na Oktoba 12 mwaka 2020.
-
Mfalme wa zamani wa Uhispania akimbia nchi kwa kashfa ya mlungula wa Saudi Arabia
Aug 04, 2020 08:03Mfalme wa zamani wa Uhispania, Juan Carlos ameondoka nchini humo na kuelekea kusikojulikana wiki kadhaa baada ya kuhusishwa na ufisadi na kashfa ya kupokea mlungula kutoka kwa mfalme wa zamani wa Saudi Arabia.
-
Alkhamisi, tarehe 7 Mei, 2020
May 08, 2020 01:31Leo ni tarehe 13 Ramadhani 1441 Hijria sawa na Mei 7 mwaka 2020.
-
Jumapili Aprili-12
Apr 12, 2020 04:25Leo ni Jumapili, tarehe 18 Sha’ban mwaka 1441 Hijria, sawa na tarehe 12 Aprili, 2020 Miladia.
-
Jumatatu 6 Aprili 2020
Apr 06, 2020 02:31Leo ni Jumatatu tarehe 12 Shaabani 1441 Hijria inayosadifiana na tarehe 6 Aprili mwaka 2020.
-
Uhispania yahamisha wanajeshi wake kutoka Iraq na kuwapeleka Kuwait
Jan 09, 2020 12:22Uhispania imewaondoa baadhi ya wanajeshi wake huko Iraq na kuwahamishia Kuwait kufuatia jinai ya karibuni ya Marekani na kushtadi mivutano katika eneo la Asia Magharibi. Uhispania imesema imefanya hivyo kwa kuhofia usalama wa wanajeshi wake.
-
Ghasia zaendelea Barcelona katika maandamano ya watu wa Catalonia
Oct 18, 2019 07:35Ghasia zimeendelea katika mji wa Barcelona nchini Uhispania ambapo Alhamisi jioni migahawa iliteketezwa moto baada ya maelfu kuandamana kwa amani mchana wakitaka viongozi wa eneo linalotaka kujitenga la Catalonia waachiliwe huru.
-
Uhispania yapinga ombi la Marekani la kujiunga na muungano wake wa baharini Ghuba ya Uajemi
Aug 03, 2019 01:25Serikali ya Uhispania imepinga ombi la Washington la kuitaka ijiunge na mungano wake wa baharini katika Ghuba ya Uajemi.
-
Kufichuliwa nafasi ya Marekani katika kusimamishwa meli ya mafuta ya Iran
Jul 05, 2019 06:45Waziri wa Mambo ya Nje wa Hispania amefafanua habari mpya inayohusiana na hatua ya kusimamishwa meli iliyokuwa imebeba mafuta ya Iran katika eneo la Jabal at-Twariq (Gibraltar).
-
Uhispania: Iran haijavunja hata mara moja mapatano ya JCPOA
Jul 04, 2019 02:42Waziri wa Mambo ya Nje wa Uhispania ambaye anatarajiwa kuchukua nafasi ya Federica Mogherini, Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya amesisitiza kuwa, uamuzi wa hivi karibuni wa Iran haujavunja vipengee vya mapatano ya nyuklia ya JCPOA na kimsingi hilo ni suala la kiufundi.