-
Jumapili Aprili-12
Apr 11, 2020 23:55Leo ni Jumapili, tarehe 18 Sha’ban mwaka 1441 Hijria, sawa na tarehe 12 Aprili, 2020 Miladia.
-
Jumatatu 6 Aprili 2020
Apr 05, 2020 22:01Leo ni Jumatatu tarehe 12 Shaabani 1441 Hijria inayosadifiana na tarehe 6 Aprili mwaka 2020.
-
Uhispania yahamisha wanajeshi wake kutoka Iraq na kuwapeleka Kuwait
Jan 09, 2020 08:52Uhispania imewaondoa baadhi ya wanajeshi wake huko Iraq na kuwahamishia Kuwait kufuatia jinai ya karibuni ya Marekani na kushtadi mivutano katika eneo la Asia Magharibi. Uhispania imesema imefanya hivyo kwa kuhofia usalama wa wanajeshi wake.
-
Ghasia zaendelea Barcelona katika maandamano ya watu wa Catalonia
Oct 18, 2019 04:05Ghasia zimeendelea katika mji wa Barcelona nchini Uhispania ambapo Alhamisi jioni migahawa iliteketezwa moto baada ya maelfu kuandamana kwa amani mchana wakitaka viongozi wa eneo linalotaka kujitenga la Catalonia waachiliwe huru.
-
Uhispania yapinga ombi la Marekani la kujiunga na muungano wake wa baharini Ghuba ya Uajemi
Aug 02, 2019 20:55Serikali ya Uhispania imepinga ombi la Washington la kuitaka ijiunge na mungano wake wa baharini katika Ghuba ya Uajemi.
-
Kufichuliwa nafasi ya Marekani katika kusimamishwa meli ya mafuta ya Iran
Jul 05, 2019 02:15Waziri wa Mambo ya Nje wa Hispania amefafanua habari mpya inayohusiana na hatua ya kusimamishwa meli iliyokuwa imebeba mafuta ya Iran katika eneo la Jabal at-Twariq (Gibraltar).
-
Uhispania: Iran haijavunja hata mara moja mapatano ya JCPOA
Jul 03, 2019 22:12Waziri wa Mambo ya Nje wa Uhispania ambaye anatarajiwa kuchukua nafasi ya Federica Mogherini, Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya amesisitiza kuwa, uamuzi wa hivi karibuni wa Iran haujavunja vipengee vya mapatano ya nyuklia ya JCPOA na kimsingi hilo ni suala la kiufundi.
-
Jumanne, Mei 7, 2019
May 06, 2019 23:43Leo ni Jumanne tarehe Mosi Ramadhani 1440 Hijria inayosadifiana na tarehe 7 Mei, 2019 Milaadia.
-
Ijumaa, tarehe 12 Aprili, 2019
Apr 11, 2019 23:57Leo ni Ijumaa tarehe 6 Sha'aban mwaka 1440 Hijiria, sawa na tarehe 12 Aprili 2019 Miladia.
-
Uhispania: Kuna uwezekano shambulizi la ubalozi wa Korea Kaskazini mjini Madrid lilifanywa na Marekani
Mar 11, 2019 04:51Vyombo vya habari nchini Uhispania vimetangaza kwamba, kuna uwezekano vyombo vya intelejensia vya Marekani vilihusika katika shambulizi la siku chache zilizopita dhidi ya ubalozi wa Korea Kaskazini mjini Madrid.