-
Misri yalalamikia hatua ya Italia ya kukata ushirikiano wake na Cairo
Jul 07, 2016 02:53Wizara ya Mambo ya Nje ya Misri imeelezea kusikitishwa kwake na hatua ya Italia ya kusimamisha ushirikiano wake na Cairo.
-
Mfalme wa Saudia alifadhili kampeni za waziri mkuu wa Israel, Netanyahu, mwaka 2015
May 10, 2016 00:19Mjumbe wa Bunge la Utawala haramu wa Israel (Knesset) amefichua kuwa Mfalme Salman bin Abdulazizi wa Saudi Arabia alifadhili kampeni za uchaguzi za waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu mwaka 2015.
-
Kushtadi lawama na ukosoaji kwa uhusiano wa Marekani na Saudia
Apr 20, 2016 03:22Rais Barack Obama wa Marekani anaelekea Saudi Arabia leo kwa lengo la kukutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa nchi hiyo huku lawama na ukosoaji ukiwa umeshtadi kwa uhusiano baina ya Washington na Riyadh.
-
Maingiliano ya Marekani na Iran mwaka mmoja uliopita
Mar 30, 2016 02:10Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kujiunga nami katika makala hii itakayoangazia kwa kifupi maingiliano baina ya Iran na Marekani katika mwaka uliopita wa 1394 Hijria Shamsia.
-
Rais wa Rwanda atuhumiwa na Burundi 'kusafirisha' mauaji ya kimbari
Mar 27, 2016 22:31Chama tawala nchini Burundi cha CNDD-FDD kimemtuhumu Rais Paul Kagame wa Rwanda kuwa anataka "kusafirisha" mauaji ya kimbari, huku uhusiano kati ya nchi mbili hizo jirani ukizidi kuharibika.
-
Mvutano katika uhusiano wa Morocco na Umoja wa Mataifa
Mar 24, 2016 03:17Baada ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon kuuelezea uwepo wa vikosi vya Morocco katika eneo la Sahara Magharibi kuwa ni "ukaliaji wa mabavu", mivutano na mikwaruzano katika uhusiano wa umoja huo na Morocco imeongezeka kufikia hadi Umoja wa Mataifa kutangaza kuwa, kwa wito wa serikali ya Rabat, imefunga ofisi yake ya mawasiliano ya kijeshi katika eneo la Sahara Magharibi na kuwaondoa waangalizi watatu wa kijeshi waliokuwepo katika ofisi hiyo.
-
Iran na New Zealand kustawisha ushirikiano
Mar 13, 2016 13:03Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran na New Zealand wamesisitizia umuhimu wa kuimarisha uhusiano wa pande mbili haswa katika uga wa kiuchumi.
-
Zarif: Uhusiano wa Iran na Oman unastawi katika nyanja zote
Feb 20, 2016 10:44Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema uhusiano wa Jamhuri ya Kiislamu na Oman unaendelea kustawi katika nyanja zote.