-
Mwanadiplomasia wa ngazi ya juu wa Uingereza ajiuzulu akipinga uuzaji silaha wa nchi hiyo kwa Israel
Aug 17, 2024 22:55Mwanadiplomasia wa ngazi ya juu wa Uingereza amejiuzulu wadhifa wake katika Wizara ya Mambo ya Nje ya nchi hiyo akipinga uuzaji silaha wa nchi hiyo kwa utawala wa Kizayuni wa Israel. Mwanadiplomasia huyo amelaani hatua ya serikali ya London ya kuendelea kuiuzia Israel silaha na kuitaja kuwa haiwezi kuhalalishwa.
-
UN: Maandamano ya kupinga utalii Uhispania yanaweza yakasambaa katika eneo
Aug 12, 2024 07:15Afisa Mkuu wa Mradi wa Utalii Endelevu katika Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni UNESCO ametahadharisha kuwa maandamano ya kupinga utalii wa halaiki ambayo yameikumba Uhispania hivi majuzi yanaweza yakaenea katika eneo zima.
-
Mamilioni ya wananchi wa Uingereza wapiga kura katika uchaguzi mkuu
Jul 04, 2024 08:41Wananchi wa Uingereza Alkhamisi leo wanapiga kura katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kukirejesha madarakani chama kikuu cha upinzani cha Labour, na kumaliza takribani muongo mmoja na nusu wa utawala wa chama cha Conservative.
-
Jumatatu, 10 Juni, 2024
Jun 09, 2024 23:55Leo ni Jumatatu tarehe 3 Mfunguo Tatu Dhul-Hijja 1445 Hijria sawa na tarehe 10 Juni 2024 Miladia.
-
Kiongozi Muadhamu: Israel ilifanya makosa, 'itaadhibiwa' kwa kushambulia ubalozi mdogo wa Iran
Apr 10, 2024 04:22Kiongozi Muadhamu wa wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei anasema utawala wa Kizayuni wa Israel "lazima uadhibiwe na kutiwa adabu" kwa shambulio lake baya dhidi ya ubalozi mdogo wa Iran katika mji mkuu wa Syria, Damascus.
-
Corbyn: Kuendelea Uingereza kuipa Israel silaha kunaifanya mshirika katika mauaji ya kimbari Gaza
Apr 01, 2024 07:14Kiongozi wa zamani wa chama cha Labour nchini Uingereza amezikosoa nchi za Magharibi - hasa Marekani na Uingereza - zinazoendelea kuipatia Israel silaha za kuwaua Wapalestina katika Ukanda wa Gaza, na kusema kuwa nchi hizo zinakiuka sheria za kimataifa.
-
Yemen yafanya mashambulizi 6 dhidi ya US, UK na Israel
Mar 27, 2024 04:09Vikosi vya Jeshi la Yemen vimefanya mashambulizi sita dhidi ya meli za Marekani, Uingereza na utawala haramu wa Israel, ukiwa ni muendelezo wa operesheni za kuwaunga mkono wananchi madhulumu wa Palestina na kujibu uvamizi wa Washington na London dhidi ya Yemen.
-
Vyombo vya habari vya Uingereza vinawaonyesha Waisraeli waathiriwa zaidi kuliko Wapalestina
Mar 07, 2024 08:43Imebainika kuwa "upendeleo mkubwa" unafanywa na vyombo vya habari vya Uingereza katika utangazaji wa matukio ya Ukanda wa Ghaza tangu Oktoba 7, kutokana na kutumia "lugha ya hisia" inayowaonyesha Waisraeli kuwa ni wahanga na waathiriwa wa mashambulizi mara 11 zaidi kulinganisha na Wapalestina.
-
Ansarullah ya Yemen: Baada ya tuliyoizamisha, tutaendelea kuzishambulia meli za Uingereza katika Bahari Nyekundu
Mar 04, 2024 05:37Yemen imeapa kuwa itaendelea kuzishambulia meli za Uingereza katika Bahari Nyekundu ili kuwaunga mkono Wapalestina katika Ukanda wa Ghaza, ambao wamekuwa wakiandamwa na vita vya mauaji ya kimbari vinavyoendeshwa na utawala wa Kizayuni wa Israel kwa muda wa miezi mitano sasa.
-
Yemen: Operesheni katika bahari Nyekundu zinaendelea
Mar 03, 2024 01:07Serikali ya Uokovu wa Kitaifa ya Yemen imesisitiza udharura wa kuendelezwa operesheni za vikosi vya majini vya nchi hiyo hadi hapo utawala wa Kizayuni wa Israel utakapositisha jinai zake huko Ukanda wa Gaza.