-
Erdogan: Nchi za Magharibi zimekuwa mateka wa mtu kichaa kama Netanyahu
Jun 26, 2024 23:28Rais wa Uturuki, Recep Tayyip Erdogan alisema jana Jumatano kwamba nchi yake inasimama bega kwa bega na Lebanon kutokana na mvutano unaozidi kuongezeka na utawala wa Kizayuni wa Israel, na amezitaka pande za kikanda kumuunga mkono katika msimamo huo.
-
Raisi awahimiza Waislamu kushikamana na mafundisho ya Uislamu na kukabiliana na Israel
Feb 22, 2024 04:30Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa lau nchi zote za Kiislamu zingeongozwa na Qur’ani na kuwa adui wa madhalimu, utawala wa Kizayuni wa Israel usingethubutu kuwaua kwa umati Wapalestina huko Ukanda wa Gaza.
-
Mkutano wa Kimataifa wataka hatua zichukuliwe kukabiliana na chuki dhidi ya Uislamu
Oct 02, 2023 23:15Mkutano wa kimataifa kuhusu chuki dhidi ya Uislamu (Islamophobia) umefanyika nchini Qatar huku mmoja wa waandalizi wake akitoa wito wa kufanyika juhudi za pamoja za kukabiliana na ongezeko la chuki dhidi ya Uislamu na athari zake "haribifu".
-
Ushuhuda kwa Al Jazeera: Sweden imekuwa nchi ya chuki na ubaguzi dhidi ya wageni na Waislamu
Sep 05, 2023 04:15Sweden ambayo imekuwa ikijulikana kama mfano wa ustahamilivu tangu miaka ya 1970, imebadilika sana katika miongo michache iliyopita na kuwa nchi ya ubaguzi wa rangi, kuongezeka kwa vitendo vya chuki dhidi ya wageni na wahamiaji, na kushamiri harakati zenye misimamo mikali za mrengo wa kulia.
-
Usikichome, Leta Mfano Wake Kama Unaweza!
Aug 17, 2023 03:43Siku moja miaka mingi sana iliyopita, yaani miaka elfu mbili kabla ya kuzaliwa Nabii Isa Masih (as), watu wa Namrud (Nimrodi) walikuwa wamerejea makwao kutoka kwenye shughuli ya kidini.
-
Spika wa Bunge la Iran: Waislamu duniani watajibu kitendo cha kuvunjiwa hesima Qur'ani nchini Sweden
Jul 01, 2023 01:20Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema: Waislamu duniani wanapaswa kufuata misimamo ya viongozi wakuu wa dini na mipaka ya sheria tukufu za Kiislamu, kujibu ipasavyo matusi ya kuchukiza na kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu.
-
Vyama 20 vyalitaka Baraza la Kijeshi linalotawala Mali kutupilia mbali mpango wa kuondoa dini katika rasimu ya katiba
May 07, 2023 07:31Takriban vyama 20 nchini Mali vimeunganisha pamoja juhudi zao na kulitaka baraza tawala la kijeshi kufuta kipengee kwenye rasimu ya katiba mpya kinachosisitiza kuwa serikali ya nchi hiyo itakuwa ya kilaiki. Rasimu hiyo imepangwa kupigwa kura ya maoni mwezi ujao wa Juni.
-
Kiongozi wa Waislamu Canada: Waislamu kote nchini wana sababu ya kuwa na wasiwasi baada ya hujuma ya msikiti wa Ontario
Apr 11, 2023 22:42Kiongozi wa Jumuiya ya Waislamu nchini Canada ameeleza wasiwasi wake kuhusu kushamiri vetendo vya chuki dhidi ya Uislamu nchini humo baada ya mwanamume mmoja kuvamia msikiti wa jimbo la Ontario Alhamisi iliyopita, kutoa vitisho sambamba na kujaribu kuwavamia waumini nje ya msikiti huo.
-
Aliachwa akihangaika na kifo peke yake; Hasira zatanda Ufaransa baada ya kifo cha mwanafunzi mwenye asili ya Kiarabu
Mar 24, 2023 22:50Mitandao ya kijamii nchini Ufaransa imeshuhudia wimbi kubwa la hasira na ghadhabu baada ya kifo cha mwanafunzi mwenye asili ya Kiarabu ambaye alipatwa na mshtuko wa moyo, huku kukiwa na shutuma kwamba uongozi wa shule ulimwacha akikabilina na kifo peke yake bila ya kumpa huduma ya dharura.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Pakistan: Uislamu ni mlindaji mkubwa zaidi wa haki za wanawake
Mar 09, 2023 03:37Waziri wa Mambo ya Nje wa Pakistan amesema, Uislamu ni mlindaji mkubwa zaidi wa haki za wanawake.