-
Waziri wa Ulinzi wa Ujerumani ataka kuongezewa muda vikosi vya nchi hiyo vilivyoko nje ya nchi
Dec 18, 2017 01:12Waziri wa Ulinzi wa Ujerumani ameomba kuongezewa muda wa mwaka mmoja vikosi vya nchi hiyo vilivyopo Afghanistan, Iraq na Mali.
-
Waziri wa Ujerumani: Uhusiano wa Ulaya na Marekani hautorudi tena katika zama za kabla ya Trump
Dec 05, 2017 12:28Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani amesema, katika zama za urais wa Donald Trump nafasi ya nguvu za kisiasa za Marekani duniani si kama ilivyokuwa huko nyuma.
-
Wajerumani waandamana kupinga chokochoko za Marekani dhidi ya Korea Kaskazini
Nov 19, 2017 04:05Raia wa Ujerumani wameandamana katika mji mkuu wa nchi Berlin hiyo kulalamikia kuongezeka mivutano kati ya Marekani na Korea Kaskazini.
-
Kuongezeka mivutano ya kisiasa kati ya Ujerumani na Saudia
Nov 18, 2017 23:17Matamshi yaliyotolewa na Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani, Sigmar Gabriel dhidi ya utawala wa kifalme wa Saudi Arabia na majibu ya utawala huo vimezidisha mivutano kati ya nchi hizo mbili.
-
Imarati yazitaka nchi za Ulaya zidhibiti misikiti kwa kuweka CCTV
Nov 15, 2017 04:15Waziri mmoja wa Umoja wa Falme za Kiarabu UAE ameitaka Ujerumani na nchi nyingine za Ulaya kudhibiti misikiti na makhatibu wa misikiti katika nchi zao kwa shabaha ya kuzuia uenezwaji wa misimamo mikali ya kufurutu ada.
-
Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Tabianchi waanza Ujerumani
Nov 06, 2017 23:13Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Tabianchi ulianza jana Jumatatu na utaendelea hadi tarehe 17 Novemba katika mji mwa Bonn nchini Ujerumani.
-
Kutoridhishwa Ulaya na msimamo wa Trump ulio dhidi ya makubaliano ya JCPOA
Oct 15, 2017 04:45Viongozi wa nchi tatu kubwa za Ulaya yaani Theresa May Waziri Mkuu wa Uingereza, Angela Merkel Kansela wa Ujerumani na Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa wameleeza wasiwasi wao kupitia taarifa ya pamoja waliyotoa kuhusu msimamo usiofaa wa Rais Donald Trump wa Marekani kuhusu JCPOA. Taarifa ya viongozi hao wa nchi tatu kubwa za Ulaya imetolewa kufuatia matamshi ya Rais wa Marekani kuhusiana na stratejia ya nchi hiyo mkabala na Iran.
-
Jumamosi, 14 Oktoba, 2017
Oct 14, 2017 00:47Leo ni Jumamosi tarehe 23 Mfunguo Nne Muharram 1439 Hijria mwafaka na tarehe 14 Oktoba 2017 Miladia.
-
Chuki dhidi ya dini ya Kiislamu katika nchi za Kimagharibi na sauti-9
Oct 08, 2017 10:43Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu ya tisa ya makala yanayozungumzia chuki na matukio ya kibaguzi dhidi ya Uislamu na Waislamu kwa ujumla katika nchi za Magharibi.
-
Jumanne tarehe 3 Oktoba, 2017
Oct 03, 2017 00:29Leo ni Jumanne tarehe 12 Muharram 1439 Hijria sawa na 3 Oktoba 2017.