Pars Today
Huku Waislamu katika kona zote za dunia wakiendelea kulaani na kupinga tukio la hivi karibuni la kuchomwa moto nakala ya Qur'ani Tukufu nchini Sweden, Kitabu hicho kitukufu cha Waislamu kimechomwa moto na kutupwa nje ya Msikiti mmoja nchini Ujerumani.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia ameashiria hati mpya ya usalama wa taifa wa Ujerumani na kusema: Hati hiyo iko kinyume na maslahi na mantiki ya watu wa nchi hiyo.
Takwimu mpya zilizotolewa na Kituo cha Takwimu cha Ulaya (Eurostat) zinaonyesha kuwa, kwa mara ya kwanza tangu mwaka 2018, Ujerumani imeagiza shehena kubwa ya mafuta au bidhaa za petroli kutoka Iran licha ya vikwazo vya Marekani.
Data zilizotolewa na Kituo cha Takwimu cha Ulaya cha Eurostat zimefichua kuwa, Ujerumani imeagiza shehena kubwa ya mafuta kutoka Iran kwa mara ya kwanza tokea mwaka 2018, licha ya vikwazo vya Marekani.
Matokeo ya utafiti uliofanyika nchini Ujerumani yanaonyesha kuwa zaidi ya theluthi moja ya wanaume nchini humo wanaona kuwa unyanyasaji dhidi ya wanawake "unakubalika".
Idara ya Kuzuia Uhalifu ya Ujerumani imetangaza kwamba makumi ya mashambulizi dhidi ya misikiti yamesajiliwa nchini humo mwaka 2022.
Kansela Olaf Scholz wa Ujerumani amesema nchi yake inaunga mkono mpango wa bara la Afrika kuwa na uwakilishi wa kudumu kwenye Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.
Filamu ya video iliyosambaa kwenye mitandao ya kijamii imemuonyesha mtoto mdogo wa Kiislamu akiondolewa kwa nguvu katika familia yake ya Kiislamu na maafisa wa "huduma za ulinzi wa watoto" wakisaidiwa na askari polisi wa Ujerumani. Maafisa wa Ujerumani wanadai kuwa wazazi wa mtoto huyo wamekuwa wakimfundisha kwamba mahusiano ya kingono ya watu wa jinsia moja hayakubaliki katika Uislamu.
Filamu ya video iliyosambaa kwenye mitandao ya kijamii imemuonyesha mtoto mdogo wa Kiislamu akiondolewa kwa nguvu katika familia yake ya Kiislamu na maafisa wa "huduma za ulinzi wa watoto" na askari polisi wa Ujerumani kwa sababu wazazi wake wanadaiwa kumfundisha kwamba mahusiano ya kingono ya watu wa jinsia moja hayakubaliki katika Uislamu.
Matumizi ya kijeshi barani Ulaya katika mwaka ulipoita wa 2022 yalipita kiwango hata cha kipindi zilipomalizika enzi za Vita Baridi.