-
Kukosolewa propaganda za Marekani kuhusiana na misaada ya kibinadamu
Mar 10, 2024 07:50Akihutubia bunge la Marekani siku ya Alkhamisi, Rais Joe Biden alisema ameliamuru jeshi la nchi hiyo kuweka bandari kwenye pwani ya Gaza katika Bahari ya Mediterania.
-
EU yaikosoa Israel kwa kuzuia misaada ya kibinadamu Gaza
Mar 03, 2024 04:09Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya amekosoa hatua ya utawala haramu wa Israel ya kuzuia kuingizwa na kusambazwa misaada ya kibinadamu katika Ukanda wa Gaza.
-
"Kamishna wa Haki wa UN achukue hatua za kukomesha jinai za Israel Gaza"
Feb 28, 2024 03:45Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amemtaka Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa achukue hatua madhubuti za kukomesha jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza.
-
Morocco: Gaza inashuhudia janga la kuogofya la kibinadamu
Feb 28, 2024 03:18Waziri wa Mambo ya Nje wa Morocco amesema Wapalestina wa Ukanda wa Gaza wanakabiliwa na 'janga la kibinadamu' wakati huu ambapo utawala wa Kizayuni wa Israel umeshadidisha mashambulizi yake ya kinyama dhidi ya eneo hilo lililozingirwa.
-
Walimwengu wailaani US kwa kutumia veto kuzuia usitishaji vita Gaza
Feb 20, 2024 23:27Mataifa na mashirika mbali mbali ya kimataifa yamelaani vikali hatua ya Marekani ya kutumia kura yake ya turufu kupinga rasimu ya azimio iliyowasilishwa na Algeria katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, la kutaka kusitishwa mara moja mapigano katika Ukanda wa Gaza.
-
Mkutano wa mawaziri wa Kiarabu Riyadh wataka kuhitimishwa vita vya Gaza
Feb 09, 2024 09:04Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa mataifa matano ya Kiarabu walmekutana Riyadh mji mkuu wa Saudi Arabia na kuutoa mwito wa kusitishwa vita huko Gaza.
-
Israel yapuuza amri ya ICJ, yaendelea kumwaga damu za Wapalestina Gaza
Jan 27, 2024 08:22Utawala haramu wa Israel umedharau uamuzi wa Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) wa kuutaka uchukue hatua zote zinazohitajika kuzuia vitendo vya mauaji ya kimbari dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza, na badala yake jeshi la utawala huo pandikizi limeendelea kumwaga damu za Wapalestina wa Gaza.
-
Seneta Sanders: Washington ni mshirika wa jinai za Israel huko Gaza
Jan 25, 2024 08:12Seneta wa jimbo la Vermont nchini Marekani amesema serikali ya Washington ni mshirika katika jinai za kutisha za Israel huko Ukanda wa Gaza kutokana na uungaji mkono wake kwa utawala huo unaokalia kwa mabavu ardhi za Palestina.
-
Hujuma za Israel zimebomoa misikiti 1,000 Gaza tokea Oktoba 7
Jan 22, 2024 08:32Wizara ya Wakfu na Masuala ya Dini katika Ukanda wa Gaza imesema mashambulizi ya vikosi vya utawala katili wa Israel dhidi ya eneo hilo lililozingirwa yamebomoa na kuharibu misikiti 1,000 tokea Oktoba 7 mwaka uliopita hadi sasa.
-
Israel inaiangamiza Palestina kielimu kwa kulenga wasomi na vituo vya kielimu Gaza
Jan 22, 2024 04:00Utawala wa Kizayuni wa Israel umewauwa maprofesa 94 wa vyuo vikuu, mamia ya walimu, na maelfu ya wanafunzi katika Ukanda wa Gaza katika muda wa miezi mitatu, kwa mujibu wa shirika moja huru la kutetea haki za binadamu.