Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Ukanda wa Ghaza

  • Israel yashambulia tena Nuseirat, Wapalestina 17 wauawa shahidi

    Israel yashambulia tena Nuseirat, Wapalestina 17 wauawa shahidi

    Jun 18, 2024 07:06

    Kwa mara nyingine tena, askari wa jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel wamefanya mashambulio ya kikatili kwenye kambi ya wakimbizi ya Nuseirat na kuua shahidi na kujeruhi makumi ya Wapalestina.

  • HAMAS: Blinken amevuruga juhudi za usitishaji vita Gaza

    HAMAS: Blinken amevuruga juhudi za usitishaji vita Gaza

    Jun 13, 2024 07:41

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imesema Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Anthony Blinken anabeba dhima ya kutofikiwa makubaliano tarajiwa ya kusitisha vita katika Ukanda wa Gaza.

  • UN: Watoto 3,000 katika hatari ya kupoteza maisha kwa utapiamlo Gaza

    UN: Watoto 3,000 katika hatari ya kupoteza maisha kwa utapiamlo Gaza

    Jun 13, 2024 07:38

    Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF) limeonya kuwa, takriban watoto 3,000 wa Kipalestina wapo katika ncha ya kuaga dunia mbele ya jamaa zao kwa kukosa matibabu ya utapiamlo wa kiwango cha juu kusini mwa Ukanda wa Gaza.

  • Makumi wauawa shahidi Gaza katika hujuma za anga za Israel

    Makumi wauawa shahidi Gaza katika hujuma za anga za Israel

    Jun 03, 2024 11:28

    Ndege za kivita za utawala wa Kizayuni wa Israel zimefanya mashambulizi ya anga katika maeneo kadhaa ya Ukanda wa Gaza zikiwemo kambi za wakimbizi na kuua shahidi makumi ya Wapalestina.

  • Erdogan: Netanyahu, mwenye kiu ya damu sharti akomeshwe

    Erdogan: Netanyahu, mwenye kiu ya damu sharti akomeshwe

    Jun 03, 2024 11:27

    Rais Recep Tayyip Erdogan wa Uturuki kwa mara nyingine amemshambulia vikali kwa maneno Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel, Benjamin Netanyahu na kumtaja kama mtu mwenye kiu ya kumwaga na kufyonza damu.

  • IFRC yataka Israel isitishe mashambulizi katika Ukanda wa Gaza

    IFRC yataka Israel isitishe mashambulizi katika Ukanda wa Gaza

    May 30, 2024 07:08

    Mtandao mkubwa zaidi wa misaada ya kibinadamu duniani umesisitizia udharura wa kusitishwa vita katika Ukanda wa Gaza, eneo ambalo mamilioni ya Wapalestina wanakabiliwa na baa la njaa.

  • Wapalestina wengine 60 wauawa na jeshi la Israel huko Gaza

    Wapalestina wengine 60 wauawa na jeshi la Israel huko Gaza

    May 24, 2024 03:00

    Makumi ya watu wakiwemo watoto wadogo na wanawake wanaripotiwa kuuawa shahidi na jeshi la utawala haramu wa Israel katika Ukanda wa Gaza huko Palestina.

  • UN: 40% ya wakazi wa Gaza wamelazimika kuhama makwao ndani ya wiki 2

    UN: 40% ya wakazi wa Gaza wamelazimika kuhama makwao ndani ya wiki 2

    May 21, 2024 07:19

    Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Kuratibu Masuala ya Kibinadu (OCHA) imesema asilimia 40 wa Wapalestina wa Ukanda wa Gaza wamelazimika kuyahama makazi yao katika kipindi cha wiki mbili zilizopita.

  • Italia yaitaka Israel isitishe operesheni za kijeshi Rafah

    Italia yaitaka Israel isitishe operesheni za kijeshi Rafah

    May 17, 2024 07:10

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Italia ameutaka utawala wa Kizayuni wa Israel ukomesha operesheni zake za kijeshi katika mji wa Rafah, wa kusini mwa Ukanda wa Gaza.

  • Afisa Myahudi katika serikali ya Biden ajiuzulu kulalamikia mauaji ya kimbari ya Ghaza

    Afisa Myahudi katika serikali ya Biden ajiuzulu kulalamikia mauaji ya kimbari ya Ghaza

    May 16, 2024 06:23

    Lily Greenberg Call, msaidizi maalumu wa mkuu wa wafanyakazi katika Idara ya Mambo ya Ndani ya serikali ya Marekani amekuwa mteuliwa wa kwanza wa kisiasa wa Kiyahudi kujiuzulu hadharani akipinga uungaji mkono wa Washington kwa mauaji ya kimbari yanayofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel katika katika Ukanda wa Ghaza uliowekewa mzingiro.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2025 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS