-
Makumi ya Wapalestina wauawa katika hujuma za Israel Gaza
May 14, 2024 11:05Ndege za kivita za utawala wa Kizayuni wa Israel zimefanya mashambulizi mapya ya anga dhidi ya maeneo tofauti ya Ukanda wa Gaza na kuua shahidi makumi ya Wapalestina, wakiwemo watoto wadogo na wanawake.
-
UNICEF yataka kukomeshwa mauaji ya watoto yanayofanywa na Israel Gaza
May 14, 2024 10:25Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF) limetoa mwito wa kukomeshwa mauaji ya kiholela dhidi ya Wapalestina, hasa watoto wadogo katika Ukanda wa Gaza.
-
Askari wa Israel waendelea kuangamizwa na wanamuqawama Gaza
May 11, 2024 07:59Wanajeshi wengine watano wa utawala wa Kizayuni wa Israel wameangamizwa katika shambulizi la ulipizaji kisasi lililofanywa na Mujahidina wa Brigedi za Izzuddin al-Qassam, tawi la kijeshi la Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS katika Ukanda wa Gaza.
-
Iran yazitaka IPU, NAM kufanya juhudi za kusitisha vita Gaza
Mar 27, 2024 07:41Iran imetoa mwito kwa Jumuiya ya Kimataifa ya Mabunge (IPU) na Jumuiya ya Nchi Zisizofungamana na Upande Wowote (NAM) kuchukua hatua za maana na za kivitendo kusitisha mauaji ya kimbari yanayofanywa na utawala wa Kizayuni dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza.
-
Israel yapuuza azimio la Baraza la Usalama, yadondosha mabomu Rafah
Mar 27, 2024 07:38Jeshi katili la Israel limeendelea kuushambulia kwa mabomu mji wa Rafah wa kusini mwa Ukanda wa Gaza, licha ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kupasisha azimio la kusimamisha vita huko Gaza baada ya miezi sita ya mashambulizi ya jeshi la utawala huo wa Kizayuni katika eneo hilo.
-
Al-Azhar: Hatua za kimataifa mkabala wa jinai za Israel Ukanda wa Gaza zinakatisha tamaa
Mar 25, 2024 11:35Imamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Al Azhar cha Misri amesema kuwa radiamali za jamii ya kimataifa mkabala wa vita vya Israel dhidi ya Gaza zinakatisha tamaa.
-
Katibu Mkuu wa UN alaani Israel kuzuia malori ya misaada yasiingie Ghaza, 7,000 yamepanga safu Misri
Mar 24, 2024 07:03Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amelaani kuzuiwa kwa malori ya misaada yaliyoko katika upande wa Misri wa mpaka na Ukanda wa Ghaza, akiielezea hatua hiyo kuwa inasababisha "ghadhabu ya kimaadili."
-
Viongozi wa EU waionya Israel dhidi ya kuishambulia Rafah
Mar 22, 2024 10:57Viongozi wa Umoja wa Ulaya wameutaka utawala wa Kizayuni wa Israel ufute mpango wake wa kuuvamia na kuushambulia kijeshi kupitia ardhini mji wa Rafah ulioko kusini ya Ukanda wa Gaza.
-
Iran yalaani kimya cha dunia mkabala wa jinai za Israel huko Gaza
Mar 21, 2024 11:05Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametoa mwito wa kusitishwa uungaji mkono kwa jinai na mauaji yanayofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina.
-
Israel: Tumeua watu 90 katika Hospitali ya al-Shifa
Mar 21, 2024 02:11Jeshi la utawala haramu wa Israel limekiri na kutangaza wazi kuwa askari wake wameua Wapalestina 90 katika uvamizi na hujuma ya siku mbili katika Hospitali ya al-Shifa huko katika Ukanda wa Gaza.