-
Kiongozi wa upinzani: Zelensky atakuwa rais wa mwisho wa Ukraine
Nov 03, 2023 23:33Kiongozi wa zamani wa upinzani wa Ukraine amekosoa vikali mienendo ya Rais wa nchi hiyo, Volodymyr Zelensky na kusema kuwa, yumkini mwanasiasa huyo atakakuwa rais wa mwisho wa Ukraine.
-
Balozi wa Korea Kaskazini nchini Russia: Marekani itashindwa huko Ukraine kama ilivyofeli Afghanistan
Oct 21, 2023 23:50Balozi wa Korea Kaskazini nchini Russia amelaani uungaji mkono na misaada ya kijeshi ya Marekani kwa Ukraine na kusema, mara hii pia Marekani itashindwa na kufeli kama ilivyokuwa huko Afghanistan.
-
Russia yaharibu mfumo wa M777 wa Marekani huko Ukraine.
Oct 08, 2023 04:47Wizara ya Ulinzi ya Russia imetangaza kuharibu mfumo wa M777 wa Marekani na wa Crab katika operesheni yake ya kijeshi nchini Ukraine.
-
Wasiwasi wa Biden kuhusu kukatizwa misaada ya Ukraine
Oct 05, 2023 23:18Mvutano wa ndani wa Warepublican umetatiza mazungumzo ya bajeti katika Baraza la Wawakilishi la Marekani umepelekea Ikulu ya White House kuwa na wasiwasi juu ya kuendelea kuunga mkono Kyiv kama kipaumbele kikuu cha siasa za kigeni za utawala wa Biden.
-
Maelfu waandamana Ujerumani kupinga kupewa silaha Ukraine
Oct 04, 2023 23:45Maelfu ya watu wamefanya maandamano katika mji wa Munich, kusini mwa Ujerumani kupinga vita na kupewa silaha Ukraine.
-
Rais wa Mexico akosoa misaada ya kijeshi ya US kwa Ukraine
Oct 03, 2023 23:39Rais Andrés Manuel López Obrador wa Mexico ameikosoa vikali Marekani kwa kutumia mabilioni ya dola kuisheheneza kwa silaha Ukraine.
-
Onyo la Guterres kuhusu ushindani na hatari ya vita vya nyuklia duniani
Sep 28, 2023 04:23Antonio Guterres, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ameonya kuhusu dunia kuingia katika mashindano mapya ya silaha za nyuklia ambayo yanaweza kueneza maafa duniani kote. Katika siku ya mwisho ya mkutano wa mwaka wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, Katibu Mkuu wa Baraza la Usalama amesema mashindano ya silaha yanatia wasiwasi wa kuongezeka karibuni idadi ya silaha za nyuklia ulimwenguni.
-
Onyo kuhusu utumiwaji wa mabomu ya vishada katika vita vya Ukraine
Sep 16, 2023 08:44Utumiaji wa mabomu ya vishada katika vita vya Ukrainia na matokeo yake hatari yamewakasirisha watetezi wengi wa haki za binadamu na hata taasisi za kimataifa.
-
Raisi: Ukraine haijawasilisha ushahidi wa madai ya kutumwa silaha za Iran kwa Russia wakati wa vita
Sep 14, 2023 07:43Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Waukraine wameshindwa kuwasilisha nyaraka zozote zinazoonyesha kuwa, Jamhuri ya Kiislamu iliipatia silaha Russia wakati wa vita.
-
Njama mpya za Marekani za kushadidisha vita vya Ukraine
Sep 13, 2023 22:53Viongozi wa Marekani wametangaza kuwa, serikali ya Joe Biden imekaribia kupasisha muswada wa kuipa Ukraine makombora ya masafa marefu yenye uwezo wa kubeba mabomu ya vishada.