-
Kufichuliwa watu wa karibu na Trump waliomshinikiza balozi wa zamani wa Marekani nchini Ukraine
Nov 05, 2019 23:38Balozi wa zamani wa Marekani nchini Ukraine ametoa ushahidi kwamba alitakiwa kuunga mkono wazi jumbe za mtandao wa kijamii wa Twitter za Rais Donald Trump, ili asifutwe kazi.
-
Jumamosi, 24 Agosti, 2019
Aug 23, 2019 22:11Leo ni Jumamosi tarehe 22 Mfunguo Tatu Dhul-Hija 1440 Hijria mwafaka na tarehe 24 Agosti 2019 Miladia.
-
Uchaguzi Ukraine : Mchekeshaji Zelensky ashinda kiti cha urais
Apr 22, 2019 00:06Msanii mchekeshaji wa Ukraine, Volodymyr Zelensky amepata ushindi mkubwa katika uchaguzi wa rais, kutokana na kura zilizopigwa.
-
Russia: Huwenda hatutoyatambua matokeo ya uchaguzi wa rais nchini Ukraine
Apr 02, 2019 09:02Mkuu wa Kamati ya Kimataifa ya Baraza la Shirikisho la Russia ameashiria uwepo wa ripoti zinazoonyesha kutokuwepo uzingatiaji wa sheria katika uchaguzi wa rais nchini Ukraine na kusema kuwa, huwenda serikali ya Moscow isitambue matokeo ya uchaguzi huo.
-
Kushadidi mivutano baina ya Russia na Ukraine; vikwazo na makabiliano ya kijeshi
Dec 26, 2018 05:05Tangu mwaka 2014 wakati hatamu za uongozi wa nchi ya Ukraine ziliposhikwa na serikali yenye mielekeo ya Kimagharibi na kuunganishwa eneo la Cremia na ardhi ya Russia, uhusiano wa Moscow na Kiev uliporomoka sana na kutawaliwa na mivutano mingi.
-
Rais wa Ukraine: Kuna uwezekano tukaingia vitani na Russia
Nov 28, 2018 12:12Sambamba na Rais Petro Poroshenko wa Ukraine kusema kuwa, Russia imeimarisha zaidi kuwepo kwake kijeshi katika mpaka wa nchi hiyo, ameeleza kuwa, kuna uwezekano kukatokea vita kamili kati ya nchi yake na Russia.
-
Ijumaa tarehe 24 Agosti 2018
Aug 23, 2018 22:03Leo ni Ijumaa tarehe 12 Dhulhija 1439 Hijria sawa na Agosti 24, 2018.
-
Putin: Crimea kamwe haitarejeshwa kwa Ukraine
Mar 12, 2018 10:25Rais wa Russia amesema kuwa nchi hiyo kamwe haitairejesha Crimea kwa Ukraine.
-
Radiamali kali ya Russia juu ya ongezeko la kuwepo kijeshi Marekani nchini Ukraine
Aug 26, 2017 06:37Igor Morozev, afisa wa ngazi ya juu katika bunge la Russia ameonya kwamba, nchi yake itachukua hatua maalumu ikiwemo kuimarisha mipaka yake, ikiwa Marekani itapanua uwepo wake kijeshi nchini Ukraine.
-
Malengo ya safari ya Waziri wa Ulinzi wa Marekani katika nchi za Jordan, Uturuki na Ukraine
Aug 21, 2017 03:44Waziri wa Ulinzi wa Marekani, James Mattis jana Jumapili aliwasili Amman katika awamu ya kwanza ya safari ya kuzitembelea nchi tatu za Jordan, Uturuki an Ukraine.