Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Ulaya

  • Gadi ya pwani ya Libya yaokoa makumi ya wahajiri

    Gadi ya pwani ya Libya yaokoa makumi ya wahajiri

    Sep 30, 2019 02:36

    Gadi ya Pwani ya Libya imetangaza kuwaokoa wahajiri haramu wapatao 70 baada ya boti yao kuzama katika bahari ya Mediterania.

  • Rouhani: Nchi za Ulaya zimekiri hazijui aliyeshambulia Aramco

    Rouhani: Nchi za Ulaya zimekiri hazijui aliyeshambulia Aramco

    Sep 28, 2019 02:40

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema licha ya nchi za Ulaya kuituhumu Tehran kuwa imehusika katika mashambulizi yaliyolenga kituo kikubwa cha kusafisha mafuta cha Aramco nchini Saudi Arabia, lakini viongozi wa nchi hizo wamekiri wazi kuwa hawajui ni nani aliyetekeleza hujuma hizo.

  • Rouhani: Madai ya Ujerumani, Uingereza na Ufaransa dhidi Iran hayana msingi wowote

    Rouhani: Madai ya Ujerumani, Uingereza na Ufaransa dhidi Iran hayana msingi wowote

    Sep 24, 2019 03:49

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekosoa vikali tuhuma zilizotolewa na Ujerumani, Uingereza na Ufaransa kuwa eti Iran ilihusika katika mashambulizi yaliyolenga kituo kikubwa cha kusafisha mafuta cha Aramco nchini Saudi Arabia na kusisitiza kuwa, madai hayo haya msingi wowote.

  • Trump azionya nchi za Ulaya, azitaka ziwachukue raia wake waliojiunga na ISIS

    Trump azionya nchi za Ulaya, azitaka ziwachukue raia wake waliojiunga na ISIS

    Sep 21, 2019 12:15

    Rais Donald Trump wa Marekani amezionya nchi za Ulaya akizitaka zihakikishe zimewachukua raia wao waliojiunga na kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) na wanaoendelea kushikiliwa nchini Iraq na Syria.

  • Mtazamo unaogongana wa Ulaya kuhusiana na JCPOA

    Mtazamo unaogongana wa Ulaya kuhusiana na JCPOA

    Sep 10, 2019 07:14

    Licha ya kuwa Umoja wa Ulaya na Troika ya Ulaya ( Ujerumani, Ufaransa na Uingrereza) zikiwa wanachama wa kundi la 4+1 zimekuwa zikisisitiza mara kwa mara udharura wa kulindwa mapatano ya Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA), lakini hazijaweza kuwasilisha rekodi nzuri ya utendaji wao katika uwanja huo.

  • Hatua mpya za Marekani dhidi ya JCPOA; kupinga mpango wa Ufaransa na kutangaza vikwazo vipya dhidi ya Iran

    Hatua mpya za Marekani dhidi ya JCPOA; kupinga mpango wa Ufaransa na kutangaza vikwazo vipya dhidi ya Iran

    Sep 06, 2019 02:25

    Rais Donald Trump wa Marekani alisikika mara kadha wa kadha akiyakosoa vikali makubaliano ya nyuklia ya JCPOA, na hatimaye mnamo tarehe 8 Mei, 2018 akatangaza rasmi kujitoa nchi yake katika makubaliano hayo. Kilichofuata baada ya hapo, ilikuwa ni kutekelezwa na serikali ya Trump katika awamu mbili tofauti vikwazo vikali dhidi ya Iran sambamba na kupinga mpango wowote wa kuyalinda makubaliano hayo ya nyuklia.

  • EuroMed Rights yatoa wito wa kukabiliana na jinai za Israel

    EuroMed Rights yatoa wito wa kukabiliana na jinai za Israel

    Sep 05, 2019 11:08

    Jumuiya ya Kutetea Haki za Binadamu Ulaya na Miditerania (EuroMed Rights) imelitaka Bunge la Uswisi lisisalimu amri mbele ya mashinikizo ya utawala wa Kizayuni wa Israel yanayolitaka lisipasishe sheria ya kuwakamata maafisa waliohusishwa na jinai za kivita dhidi ya Wapalestina.

  • Tishio jingine la Donald Trump la kuwahamishia magaidi wa Daesh katika nchi za Ulaya

    Tishio jingine la Donald Trump la kuwahamishia magaidi wa Daesh katika nchi za Ulaya

    Aug 23, 2019 02:25

    Nafasi ya Marekani na washirika wake wa Magharibi na wa Kiarabu katika kuanzisha na kueneza harakati za makundi ya kigaidi na kitakfiri likiwemo la Daesh si ya kukanushika hata kidogo.

  • Wahajiri zaidi ya 500 wakwama katika pwani ya Ulaya

    Wahajiri zaidi ya 500 wakwama katika pwani ya Ulaya

    Aug 13, 2019 11:15

    Wahajiri haramu zaidi ya 500 ambao wako katika boti katika pwani ya Ulaya baada ya kuokolewa na huku boti hizo zikisubiri kuruhusiwa kutia nanga wamekwama katika bahari ya Mediterania.

  • Taathira hasi za siasa za serikali ya Marekani dhidi ya Iran kwa uhusiano kati ya Washington na waitifaki wake wa Ulaya

    Taathira hasi za siasa za serikali ya Marekani dhidi ya Iran kwa uhusiano kati ya Washington na waitifaki wake wa Ulaya

    Aug 09, 2019 02:45

    Mkuu wa zamani wa Shirika la Ujasusi la Marekani (CIA) amesisitiza kuwa siasa zinazotekelezwa na serikali ya nchi hiyo dhidi ya Iran zimekuwa na taathira hasi kwa uhusiano kati ya Washington na waitifaki wake wa Ulaya.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS