-
Interpol yatahadharisha, Daesh watafanya tena mashambulizi Ulaya
Dec 21, 2018 00:23Katibu Mkuu wa Polisi ya Kimataifa (Interpol) ametahadharisha kuhusu uwezekano wa kundi la kigaidi la Daesh kufanya tena mashambulizi katika nchi za Ulaya.
-
AU yazikosoa nchi za Ulaya zilizokataa kusaini Mkataba wa Wahajiri
Dec 18, 2018 23:21Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika amezikosoa vikali nchi kadhaa za Ulaya zilizokataa kusaini Mkataba wa Kimataifa wa Wahajiri.
-
Jitihada za kuboresha hali za wahajiri duniani
Dec 10, 2018 23:05Mkutano wa kimataifa wa uhajiri ulianza jana Jumatatu ya tarehe 10 Desemba nchini Morocco katika hali ambayo, mazingira na hali isiyoridhisha ya kisiasa, kijamii na kiuchumi, pamoja na kukosekana usalama katika nchi mbalimbali duniani hususan za mabara ya Afrika na Amerika ya Latini na maeneo mengine kadhaa ya bara la Asia vimesababisha kuongezeka wimbi la wahajiri duniani.
-
Ujerumani yapinga kuongezwa vikwazo vya nchi za Ulaya dhidi ya Russia
Dec 08, 2018 23:23Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumaini amegusia mapigano ya hivi karibuni baina ya Russia na Ukraine na kusema kuwa suala la kuongeza vikwazo vya nchi za Ulaya dhidi ya Moscow haliingii akilini.
-
Qassemi: "Mfumo wa mabadilishano ya fedha baina ya Iran na Ulaya" unafuatiliwa
Dec 03, 2018 12:09Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema: Mfumo maalumu kwa ajili ya mabadilishano ya fedha kati ya Iran na Ulaya kwa kifupi SPV ungali unaendelea kufuatiliwa; na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imeshabainisha wazi mategemeo iliyonayo katika suala hilo.
-
Ulimwengu wa Michezo, Nov 19
Nov 19, 2018 05:45Haya ni baadhi ya matukio ya spoti yaliyogonga vichwa vya habari ndani ya siku saba zilizopita, kitaifa na kimataifa....
-
Makumi ya wahajiri wajifungia kwenye kontena Libya
Nov 15, 2018 00:03Makumi ya wahajiri wamejifungia kwenye shehena iliyoko ndani ya meli moja katika mji bandari wa Misrata kwa muda wa siku tano sasa baada ya kuokolewa, wakisisitiza kuwa Libya ni nchi hatari sana kwao.
-
Misimamo inayogongana ya Trump mkabala na mamlaka ya kiulinzi ya Ulaya
Nov 13, 2018 09:43Hitilafu na mizozo baina ya Ulaya na Marekani imedhihiri hivi sasa kuliko kipindi kingine chochote kile tangu Rais Donald Trump wa Marekani aingie madarakani.
-
Bahram Qassemi: Mchakato wa kuweko njia ya mabadilishano ya kifedha ya Iran na EU unaendelea vizuri
Nov 05, 2018 10:45Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, mchakato wa kuanzisha njia na kanali maaluumu ya mabadilishano ya kifedha kati ya Iran na Umoja wa Ulaya unaendelea vizuri.
-
Mwito wa Ulaya wa kuweko muungano wa kimataifa wa kulinda biashara huru
Nov 05, 2018 04:20Peter Altmaier, waziri wa uchumi wa Ujerumani amehimiza kuundwa muungano wa kimataifa wa kulinda biashara huru kama njia ya kukabiliana na siasa za rais wa Marekani, Donald Trump, za kuzibana nchi nyingine duniani.