Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Ulaya

  • Velayati: Dhamana imara ichukuliwe kutoka nchi za Ulaya kuhusu mapatano ya nyuklia

    Velayati: Dhamana imara ichukuliwe kutoka nchi za Ulaya kuhusu mapatano ya nyuklia

    May 20, 2018 10:18

    Mshauri wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika masuala ya kimataifa amesema: "Mtazamo wa Jamhuri ya Kiislamu ni kuwa, katika mazungumzo na nchi za Ulaya kunapaswa kupatikane dhamana imara ili mapatano ya nyuklia ya JCPOA yasivurugike."

  • Kujizuia Ulaya kubeba gharama za kujitoa Marekani katika makubaliano ya JCPOA

    Kujizuia Ulaya kubeba gharama za kujitoa Marekani katika makubaliano ya JCPOA

    May 12, 2018 07:55

    Jean-Yves Le Drian Waziri wa Mambo ya Nje wa Ufaransa ameitaja hatua ya Marekani ya kuyawekea mashinikizo mashirika ya nje ambayo yana uhusiano wa kibiashara na Iran kuwa haikubaliki na kueleza kuwa: Nchi za Ulaya hazipasi kubeba gharama za kujitoa Marekani ndani ya JCPOA.

  • Indhari ya Russia kuhusu kufutwa makubaliano ya JCPOA na taathira zake mbaya

    Indhari ya Russia kuhusu kufutwa makubaliano ya JCPOA na taathira zake mbaya

    May 05, 2018 07:39

    Serikali ya Russia imetoa taarifa ikisisitiza kuwa makubaliano ya nyuklia ya JCPOA ni utaratibu ulio na mlingano weenye manufaa ya pande zote na kutahadharisha kuwa kuvunjwa makubaliano hayo kutakuwa kwa madhara. Kwa mujibu wa taarifa hiyo ya Russia, kuvurugwa mlingano unaolegalega wa kimaslahi ndani ya makubaliano ya JCPOA kutakuwa na taathira kuu kwa usalama wa kimataifa na muundo unaopiga marufuku uenezaji wa silaha za nyuklia.

  • Indhari ya Amnesty International kwa EU juu ya ushiriki wake katika mashambulizi ya anga ya Marekani

    Indhari ya Amnesty International kwa EU juu ya ushiriki wake katika mashambulizi ya anga ya Marekani

    Apr 29, 2018 08:45

    Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limezionya nchi za Ulaya ambazo zina mpango wa kushiriki katika mashambulizi ya ndege zisizo na rubani ya Marekani, kutokana na kutekelezwa mauaji ya raia katika hujuma hizo.

  • Iran: Tutasimama kidete kukabiliana na vikwazo vyovyote vile

    Iran: Tutasimama kidete kukabiliana na vikwazo vyovyote vile

    Apr 28, 2018 23:07

    Msemaji wa serikali ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, hakuna kikwazo chochote kitakacholenga manufaa ya Jamhuri ya Kiislamu kitakachoachwa vivi hivi hivi bila ya kutumia uwezo wetu wote kupambana nacho.

  • Wahajiri 11 wa Kiafrika wamekufa maji katika pwani ya Libya

    Wahajiri 11 wa Kiafrika wamekufa maji katika pwani ya Libya

    Apr 23, 2018 03:15

    Kwa akali wahajiri 11 wa Kiafrika wameripotiwa kufariki dunia baada ya boti yao kuzama katika maji ya pwani ya magharibi mwa Libya, wakati wakiwa safarini kuelekea Ulaya.

  • Jibu madhubuti la Russia kwa hatua ya nchi za Umoja wa Ulaya

    Jibu madhubuti la Russia kwa hatua ya nchi za Umoja wa Ulaya

    Mar 31, 2018 10:14

    Serikali ya Russia ilitangaza jana Ijumaa kuwa itawafukuza wanadiplomasia 59 wa nchi 23 tofauti walioko nchini humo. Uamuzi huo wa Moscow umechukuliwa kujibu hatua ya nchi hizo ya kuwafukuza kwa mpigo wanadiplomasia wa Russia. Katika jibu na radiamali yake kwa hatua ya kufukuzwa wanadiplomasia wake, serikali ya Moscow imechukua uamuzi wa kuwafukuza wanadiplomasia 41 wa nchi wanachama wa Umoja wa Ulaya.

  • Utafiti: Mamilioni kuhama Afrika na kuelekea Marekani na Ulaya

    Utafiti: Mamilioni kuhama Afrika na kuelekea Marekani na Ulaya

    Mar 23, 2018 09:37

    Watafiti wanasema kuwa karibu watu milioni 1.5 wameondoka katika nchi zilizo chini ya Jangwa la Sahara barani Afrika na kuelekea Ulaya na Marekani tangu mwaka 2010, huku mamilioni ya wengine wakifanya mipango ya kufuata nyao za wenzao.

  • Ujerumani yamkosoa Trump juu ya hatari ya vita vya kibiashara na EU

    Ujerumani yamkosoa Trump juu ya hatari ya vita vya kibiashara na EU

    Mar 06, 2018 23:42

    Msemaji wa Serikali ya Ujerumani ameikosoa Marekani juu ya uwezekano wa kutokea vita vya kibiashara kufuatia hatua ya Washington kuongeza kiwango cha ushuru wa forodha kwa bidhaa za Ulaya.

  • Rouhani: Pande zote zitajuta iwapo makubaliano ya nyuklia ya Iran yatavunjika

    Rouhani: Pande zote zitajuta iwapo makubaliano ya nyuklia ya Iran yatavunjika

    Mar 05, 2018 23:26

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema pande zote husika zitajuta iwapo makubaliano ya nyuklia ya JCPOA yatasambaratika, katika hali ambayo Marekani inafanya jitihada za kuyafelisha mapatano hayo na kutoa vitisho vya kujiondoa kwenye makubaliano hayo kila mara.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS