-
Papa Francis atoa mwito wa kushughuliwa hali ya wahamiaji barani Ulaya
Aug 14, 2023 03:59Papa Francis, Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani ametoa mwito wa kushughuliwa hali ya wahamiaji barani Ulaya.
-
Ukosoaji mkali wa Putin kwa hatua ya Ulaya ya kuifuata kibubusa Marekani
Jul 18, 2023 02:27Rais Vladimir Putin wa Russia amekosoa vikali kutokuwa huru nchi za Ulaya na kuwa tayari nchi hizo kutekeleza kibubusa amri na maagizo ya Marekani.
-
Iran: Mapuuza ya Magharibi yameshadidisha mgogoro wa wakimbizi
Jun 21, 2023 03:44Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Magharibi inajaribu kukwepa kubeba dhima ya mgogoro wa wakimbizi unaoshuhudiwa hivi sasa, na kwamba sera mbovu za Marekani na nchi za Ulaya ndizo zinazofaa kulaumiwa kwa mgogoro huo.
-
Rais Kais Saied: Tunisia haitakuwa mlinzi wa mipaka ya Ulaya
Jun 12, 2023 04:40Rais Kais Saied wa Tunisia amesema nchi hiyo haitakubali kufanywa gadi ya mpaka ya nchi za Ulaya, wakati huu ambapo safari za wahamiaji haramu kwenda Ulaya kupitia Bahari ya Mediterania zimeongezeka.
-
Onyo kuhusu kudorora Ulaya katika mfumo unaotawaliwa na Marekani
Jun 01, 2023 01:22Mwanafikra mashuhuri wa Marekani Noam Chomsky ameonya kwamba huenda Ulaya ikadhoofika sana kiviwanda ikiwa itaendelea kuwa chini ya utawala wa Marekani.
-
Chomsky aonya kuhusu matokeo mabaya ya Ulaya kuwa chini ya utawala wa Marekani
May 31, 2023 09:58Mwanafalsafa na mwanaisimu mashuhuri wa Marekani ameonya kuhusu matokeo mabaya ya Ulaya kuwa chini ya udhibiti wa Marekani.
-
Mgogoro wa nishati umeua watu wengi Ulaya kuliko Corona
May 28, 2023 06:47Takwimu rasmi zinaonesha kuwa, mgogoro wa nishati barani Ulaya katika msimu uliopita wa baridi kali ulisababisha maafa makubwa katika bara hilo kuliko janga la Corona.
-
Fedheha ya ubaguzi wa rangi katika mchezo wa soka barani Ulaya
May 26, 2023 01:48Ubaguzi wa rangi ni silaha ya tangu na tangu, ambayo siku hizi, na licha ya kauli mbiu zote za kuwepo usawa baina ya watu wote na haki za binadamu kwa wote, ingali inatumiwa katika Ulimwengu wa Magharibi dhidi ya watu weusi na wasio Wazungu. Siku hizi katika nchi za Magharibi, watu wa rangi zingine hasa weusi, hawana hadhi sawa na weupe, licha ya wanavyojituma na michango mingi mno wanayotoa.
-
Kuongezeka pakubwa gharama za maisha barani Ulaya
May 22, 2023 02:47Kupanda kwa bei za bidhaa mbalimbali za mahitaji na gharama za maisha kunaendelea kuzitesa nchi mbalimbali barani Ulaya.
-
Kuongezeka gharama za kijeshi za Ulaya baada ya Vita Baridi kwa kiwango ambacho hakijawahi kushuhudiwa
Apr 28, 2023 12:51Matumizi ya kijeshi barani Ulaya katika mwaka ulipoita wa 2022 yalipita kiwango hata cha kipindi zilipomalizika enzi za Vita Baridi.