-
Russia Today: Ulaya imekuwa koloni la Marekani katika kadhia ya Ukraine
Apr 26, 2023 02:02Chaneli ya televisheni ya Russia Today imeeleza katika ripoti yake ya uchambuzi kuhusu maandamano ya kupinga vita yaliyofanywa na watu kote barani Ulaya kwamba, Ulaya imekuwa koloni la Marekani katika kadhia ya Ukraine
-
Marekani imekithirisha uwekaji wa silaha zake za nyuklia katika bara la Ulaya
Apr 09, 2023 02:16Shirika la habari la Sputnik limetangaza kuwa Marekani imekithirisha uwekaji silaha zake za nyuklia barani Ulaya.
-
29 wafa maji, 11 waokolewa katika ajali ya boti pwani ya Tunisia
Mar 27, 2023 11:35Gadi ya Kitaifa ya Ulinzi wa Pwani ya Tunisia imetangaza habari ya kuaga dunia wahamiaji 29 kati ya 34 wa Kiafrika waliotoweka Ijumaa iliyopita baada ya boti waliyokuwa wakisafiria kuelekea Ulaya kuzama baharini karibu na pwani ya Tunisia.
-
Ulaya mwaka 2022 iliingiza silaha maradufu
Mar 14, 2023 02:08Taasisi ya kimataifa ya utafiti wa Amani imetangaza kuwa mwaka jana wa 2022 Ulaya ilipokea silaha maradufu; hatua inayoashiria kupatiwa Ukraine shehena kubwa ya silaha kwa kisingizio cha vita vinavyoendelea nchini humo.
-
Maelfu waandamana Italia, Ujerumani kupinga vita na kupewa silaha Ukraine
Feb 26, 2023 11:23Maelfu ya wananchi wa Italia wamefanya maandamano katika miji mbalimbali ya nchi hiyo kulalamikia vikwazo vya Magharibi dhidi ya Russia, huku vita vya Ukraine vikiingia mwaka wake wa pili.
-
Hungary yailaumu Marekani kwa 'kuididimiza' Ulaya
Feb 24, 2023 03:06Waziri Mkuu wa Hungary, Viktor Orbán ameilaumu Marekani kwa kusababisha kudidimia na kupoteza ushawishi nchi za Ulaya.
-
Kashfa Katoliki; Watu karibu 5,000 wahanga wa unyanyasaji wa kingono Ureno
Feb 14, 2023 07:31Kwa mara nyingine tena Kanisa Katoliki limekumbwa na sakata jipya la ufuska; ambapo maelfu ya watu wameripotiwa kuwa wahanga wa udhalilishaji wa kingono wa kanisa hilo nchini Ureno.
-
Wananchi waandamana kote Iran kulaani kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu na kuwekewa vikwazo IRGC
Jan 27, 2023 12:33Baada ya kuswali Sala ya Ijumaa, wananchi kote katikaa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wamejitokeza mitaani na kulaani hatua za hivi karibuni za nchi za Magharibi na Ulaya zikiongozwa na Marekani za kudhalilisha matukufu ya Kiislamu na kuliwekea vikwazo Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC).
-
Raisi: Kuivunjia heshima Qurani ni tusi kwa dini za mbinguni, utu
Jan 27, 2023 02:48Rais wa Iran amesema vitendo vya karibuni vya kuvunjia heshima Qurani Tukufu katika nchi kadhaa za Ulaya ni tusi kwa dini zote za mbinguni zenye asili ya Nabii Ibrahim (AS), na kwa jamii yote ya wanadamu.
-
Spika: Majlisi ya Iran itachukua 'hatua nzito' mkabala wa Bunge la Ulaya
Jan 21, 2023 10:25Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) ameashiria hatua ya Bunge la Ulaya iliyo dhidi ya Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) na kusema kuwa, iwapo Ulaya inataka 'kufunga mlango wa mantiki' na kuunga mkono ugaidi, basi Jamhuri ya Kiislamu ipo tayari kuchukua hatua nzito ya kujibu mapigo.