-
Afisa wa Ufaransa atahadharisha kuhusu hatari ya ujasusi wa Marekani barani Ulaya
Jan 16, 2023 03:10Mkuu wa Kamandi ya Ulinzi wa Kimtandao wa Ufaransa ametahadharisha kuhusu hatari ya ujasusi wa Marekani kwa bara Ulaya.
-
Uingereza ni nchi ghali zaidi ya Ulaya kuishi
Jan 13, 2023 03:13Takwimu zinaonyesha kuwa Uingereza ndiyo nchi ghali zaidi yabarani Ulaya kuishi kutokana na matatizo makubwa ya kiuchumi na kifedha yanayoikabili nchi hiyo.
-
Fedheha! Uingereza yashindwa kutuma satalaiti yake anga za mbali
Jan 10, 2023 07:30Jaribio la Uingereza la kuwa nchi ya kwanza ya Ulaya kurusha satalaiti katika anga za mbali limegonga mwamba, huku kampuni ya Virgin Orbit ikitangaza kuwa roketi lake la kurushia satalaiti hiyo lilikubwa na hitilafu na kuifanya (satalaiti hiyo) ishindwe kufika katika anga za mbali.
-
Kukirihishwa polisi na vyombo vya habari vya Magharibi katika kukabiliana na kuakisi ugaidi wa Wazungu
Dec 27, 2022 02:28Shambulio la kigaidi na la ubaguzi wa rangi lililotokea hivi karibuni Paris, mji mkuu wa Ufaransa, kwa mara nyingine limeonesha jinsi polisi na vyombo vya habari vya Magharibi vinavyokirihishwa, kuchukizwa na kutopenda kabisa kukabiliana na kuakisi vitendo vya kigaidi vinavyoifanywa na Wazungu magaidi.
-
Mgogoro wa Ukraine wazisababishia hasara ya dola trilioni moja nchi za Ulaya
Dec 19, 2022 07:34Nchi za barani Ulaya zimepata hasara ya dola trilioni moja kutokana na mgogoro wa nishati ya kupaa vibaya bei ya bidhaa hiyo muhimu. Mgogoro huo umekuja baada ya kutokea vita vya Ukraine na nchi za Ulaya kuamua kuiwekea vikwazo Russia.
-
Russia: UN inapuuza ukatili dhidi ya wanawake wa Ukraine nchini Sweden
Dec 04, 2022 06:58Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia amesema Umoja wa Mataifa na mashirika ya kutetea haki za binadamu yanafumbia macho dhulma, unyanyasaji na ukatili dhidi ya wanawake wakimbizi wa Ukraine walioko Sweden.
-
Ukosoaji wa Moscow kwa msimamo mpya wa Umoja wa Ulaya na Ujerumani kuhusu mfumo mpya wa usalama wa Ulaya
Dec 04, 2022 02:39Sergei Lavrov Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amekosoa matamshi ya Josep Borrell Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya na Annalena Baerbock Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani kuhusu ulazima wa kuanzishwa mfumo mpya wa usalama wa Ulaya dhidi ya Moscow.
-
Ombi la Ulaya kwa China, mshaurini Putin asitishe vita Ukraine
Dec 03, 2022 02:23Charles Michel, Rais wa Baraza la Ulaya, amekutana na kuzungumza na Rais Xi Jinping katika ziara yake rasmi nchini China. Katika mkutano huu, Michel alimwomba Xi kutumia ushawishi wa Beijing kwa Russia ili kusitisha vita nchini Ukraine.
-
Nchi za Ulaya za Mediterenia zimeshindwa kuzuia kutokea majanga ya baharini
Nov 30, 2022 03:07Mkuu wa ofisi ya Masuala ya Bahari katika shirika la World Nature Foundation amesema kuwa nchi za Ulaya za Mediterenia zimeshindwa kuzuia kutokea majanga ya baharini.
-
NATO: Ulaya inakabiliwa na 'wakati mgumu' kwa kuipa himaya Ukraine
Nov 28, 2022 06:53Katibu Mkuu wa Shirika la Kijeshi la Nchi za Magharibi (NATO) amekiri kuwa, kuiunga mkono Ukraine katika vita dhidi ya Russia kumezipelekea nchi za Ulaya kukumbwa na matatizo mengi ukiwemo mfumko wa bei.