-
Iran ni ya 10 duniani kwa kuzalisha magari madogo; yazipiku Uingereza na Ufaransa
Nov 24, 2022 07:35Shirikisho la watengeza magari barani Ulaya limeitangaza Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuwa taifa la kumi duniani kwa kuzalisha na kutengeneza magari madogo.
-
Morocco yazuia wahajiri 56,000 kwenda Ulaya kupitia Mediterania
Nov 14, 2022 11:07Mamlaka za Morocco zimetangaza kuwa zimezima majaribio ya makumi ya maelfu ya wahamiaji haramu waliojaribu kuvuka bahari ya Mediterania kuelekea Ulaya.
-
IEF: Bei ya mafuta kupindukia dola 100 kwa pipa
Nov 03, 2022 02:29Jukwaa la Kimataifa la Nishati (IEF) limesema bei ya mafuta itapindukia dola 100 kwa pipa kutokana na utekelezaji wa vikwazo vya Umoja wa Ulaya dhidi ya Russia.
-
IOM: Idadi ya vifo vya wahajiri kuelekea Ulaya imeongezeka zaidi mwaka huu
Oct 26, 2022 07:37Shirika la Kimataifa la Uhamiaji (IOM) limetangaza kwamba idadi ya vifo vya watu wanaotafuta hifadhi imeongezeka kwa kiasi kikubwa kwenye njia za nchi kavu na baharini kuelekea Ulaya ikilinganishwa na mwaka jana.
-
Taasisi na shakhsia kadhaa wa EU wataongezwa kwenye orodha ya vikwazo ya Iran
Oct 25, 2022 13:34Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amedokeza kuwa karibuni hivi majina ya taasisi na shakhsia kadhaa wa nchi wanachama wa Umoja wa Ulaya yataongezwa kwenye orodha ya vikwazo ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Maandamano ya Ulaya dhidi ya kuzorota hali ya kiuchumi
Oct 25, 2022 02:36Kufuatia kuenea mgogoro wa kiuchumi katika nchi mbalimbali za Ulaya, wananchi wengi wameandamana katika nchi kama vile Ujerumani, Ufaransa, Uingereza na Romania kulalamikia hali mbaya ya maisha.
-
Mashariki mwa Ulaya inakabiliwa na janga la ufukara wa nishati na hewa chafu
Oct 24, 2022 12:32Gazeti moja la Uingereza limeandika kuwa, wananchi wa maeneo ya mashariki mwa Ulaya wana utajiri mkubwa wa nishati ya bei nafuu lakini unasababisha uchafuzi mkubwa wa hali ya hewa. Utajiri huo ni kama ule wa makaa ya mawe ya rangi ya kahawia.
-
China yapinga vikwazo haramu na vya upande mmoja vya EU dhidi ya Iran
Oct 24, 2022 04:01China imepinga na kukosoa vikali hatua ya Umoja wa Ulaya ya kuiwekea Jamhuri ya Kiislamu ya Iran vikwazo ilivyovitaja kuwa haramu na vya upande mmoja.
-
Kukiri Borrell juu ya mwisho wa udhibiti wa Marekani na nafasi isiyokuwa athirifu ya Ulaya duniani
Oct 22, 2022 11:11Mkuu wa Sera za Nje wa Umoja wa Ulaya, Josep Borrell amekiri katika mahojiano yake siku ya Alhamisi iliyopita kwamba tunaishi katika ulimwengu wa kambi kadhaa na kwamba kipindi cha udhibiti wa upande mmoja wa Marekani kimefikia tamati.
-
Qatar: Hatutoi gesi ya wateja wa Asia kwenda Ulaya
Oct 19, 2022 08:10Waziri wa Masuala ya Nishati wa Qatar ametangaza kuwa haitazamiwi katika msimu ujao wa baridi kali shehena ya gesi iliyopangwa kwenda Asia kuelekea Ulaya.