-
WHO: Ulaya inaingia katika wimbi jipya la maambukizi ya COVID-19
Oct 13, 2022 10:51Shirika la Afya Duniani (WHO) na Kituo cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa Ulaya (ECDC) zimeonya kuhusu ongezeko la maambukizi ya ugonjwa wa COVID-19 katika nchi za Ulaya, katika kile kilichotajwa ni wimbi jipya la msambao wa maradhi hayo barani humo.
-
IEA: Ulaya inakabiliwa na hatari isiyo ya kawaida ya uhaba wa gesi katika msimu ujao wa baridi kali
Oct 03, 2022 10:54Shirika la Kimataifa la Nishati IEA limetangaza kwamba kufuatia uamuzi wa Russia wa kusitisha mauzo yake mengi ya gesi kwa Ulaya, bara hilo litakabiliwa na "hatari kubwa isiyo na kifani" ya uhaba wa gesi asilia katika msimu ujao wa baridi kali.
-
Kushadidi ubaguzi dhidi ya Waislamu nchini Uingereza; kielelezo cha chuki dhidi ya Uslamu barani Ulaya
Sep 16, 2022 04:01Katika muendelezo wa ubaguzi dhidi ya Waislamu wanaoishi nchini Uingereza, vyombo vya habari vimeripoti wiki hii juu ya kuweko mpango wa kupokonywa uraia wa nchi hiyo Waislamu wanaoishi nchini Uingereza na kutangazwa kuwa raia wa daraja la pili.
-
Mgogoro wa nishati wasababisha maandamano katika nchi za Ulaya
Sep 11, 2022 11:55Miji kadhaa ya nchi za Ulaya imeshuhudia maandamano ya kulalamikia ongezeko la bei za nishati, huku mgogoro wa mafuta ya petroli na gesi ukiendelea kuyasumbua mataifa mengi ya bara Ulaya.
-
Mbunge wa Ujerumani: Serikali ya nchi hii ndio 'pumbavu zaidi' barani Ulaya
Sep 10, 2022 11:33Mwanasiasa wa mrengo wa kushoto nchini Ujerumani ameikosoa vikali serikali ya nchi hiyo kwa kusababisha alichokiita vita 'vibaya' vya kiuchumi dhidi ya Russia.
-
Iran: Tuko tayari kuitatulia Ulaya matatizo yake ya nishati
Sep 05, 2022 11:12Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu imehifadhi hisa yake katika soko la nishati licha ya vikwazo, lakini inaweza kuwa na mchango mkubwa katika kupatia suluhu mgogoro wa niashati unaolikabili bara Ulaya.
-
Mzozo mpya wa Russia na Magharibi kuhusu nishati
Sep 04, 2022 03:38Mawaziri wa fedha wa nchi saba zilizoendelea kiviwanda duniani, zinazojulikana kama G7, walikubaliana Ijumaa, Septemba 2, katika mkutano uliofanyika kwa njia ya video, kuweka mipaka ya bei kwa mauzo ya mafuta ya Russia.
-
Kan'ani: Iran imepokea jibu la Marekani
Aug 25, 2022 03:22Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametangaza kuwa Iran imepokea jibu la serikali ya Marekani kuhusu mitazamo ya Iran kuhusu kutatua masuala yaliyosalia katika mazungumzo ya kuondoa vikwazo.
-
Mgogoro wa nishati kuilazimisha Ulaya kutumia mkaa zaidi
Aug 24, 2022 04:18Aghalabu ya nchi za Ulaya zitalazimika kutumia zaidi nishati ya mkaa katika msimu wa baridi kali unaolijongelea bara hilo, huku mgogoro wa nishati katika bara hilo ukishtadi.
-
Russia: Hatuna nia ya kuzikatia gesi kikamilifu nchi za Ulaya
Jul 26, 2022 02:28Msemaji wa Ikulu ya Russia (Kremlin) amesema kuwa, Moscow haina nia ya kuzikatia kikamilifu gesi yake nchi za Ulaya.