-
Jumatatu tarehe 24 Machi 2025
Mar 24, 2025 02:36Leo ni Jumatatu tarehe 23 Ramadhani 1446 Hijria sawa na Machi 24 mwaka 2025.
-
Rais Pezeshkian: Lengo kuu la Iran ni umoja, mshikamano na maelewano katika Umma wa Kiislamu
Sep 16, 2024 06:28Huku akielezea malengo ya safari yake ya siku tatu nchini Iraq, Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Masoud Pezeshkian amesema kuwa: Lengo kuu la serikali ni umoja, mafungamano na maelewano katika Umma mzima wa Kiislamu.
-
Raisi: Waislamu wana wajibu wa kukomesha mauaji ya kimbari ya Israel huko Gaza
Apr 10, 2024 03:37Rais wa Iran, Ebrahim Raisi, amesema ni wajibu wa kibinadamu na kidini kwa nchi za Kiislamu kukomesha mauaji ya kimbari ya miezi kadhaa ya utawala wa Israel dhidi ya Wapalestina huko Gaza.
-
Palestina, Suala Kuu la Umma wa Kiislamu (1)
Nov 19, 2023 06:33Katika kikao chake na viongozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran pamoja na mabalozi wa nchi za Kiislamu tarehe 18 Februari mwaka huu, Ayatullah Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran alisema suala la Palestina ni moja ya masuala muhimu zaidi ya ulimwengu wa Kiislamu. Alisema hali ya kusikitisha na kuhuzunisha ya hivi sasa huko Palestina ni matokeo ya kupuuzwa suala hilo na baadhi ya nchi za Kiislamu.
-
Rais Raisi: Ahul Bayt AS ni siri ya Umoja wa Kiislamu
Sep 01, 2022 10:44Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Ahul Bayt AS- yaani watu wa nyumba ya Mtume Muhammad SAW, ni ufunguo wa Umoja wa Kiislamu na chimbuko la matumaini katika jamii ya mwanadamu.
-
Miaka 40 na juhudi za kuunganisha madhehebu za Kiislamu
Feb 02, 2019 04:35Katika mada ya 11 ya Katiba ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kwa msingi wa Aya ya Qur'ani Tukufu inayosema: Hakika umma wenu huu ni umma mmoja, na Mimi ni Mola wenu, kwa hivyo niabuduni Mimi, serikali ya Jamhuri ya Kiislamu inawajibika kuratibu siasa zake kuu kwa msingi wa kuleta umoja na mshikamano wa kisiasa, kiuchumi na kiutamaduni kati ya mataifa yote ya Kiislamu.
-
Umoja na Udugu wa Kidini katika Qur'ani na Hadithi
Nov 26, 2018 12:37Suala la umoja katika umma wa Kiislamu, ni jambo lenye umuhimu mkubwa na ambalo limesisitizwa sana katika Qur'ani na Hadithi. Kinsingi ni kuwa umoja ni nguzo muhimu katika mafundisho ya Qur'ani na pia unachukuliwa kuwa moja ya misingi muhimu katika Hadithi za Mtume Muhammad (saw) na Ahlu Beit wake (as).
-
Al Houthi: Uislamu wa Kimarekani ni wa kinafiki
Jul 14, 2018 03:21Katibu Mkuu wa harakati ya Ansurulla nchini Yemen amesema kuwa Uislamu wa Kimarekani, Kisaudia na Kiimarati ni Uislamu wa kinafiki unaopingana na asili ya Uislamu.
-
Alimu mkubwa Tunisia: Fatwa za mamufti wa Kiwahabi, zinalenga kuusambaratisha Uislamu
Apr 11, 2018 04:38Alimu mmoja wa ngazi ya juu wa Kiislamu nchini Tunisia, amesema kuwa fatwa za upotoshaji za mamufti wa Saudia, zinaelekea kuuangamiza umma wa Kiislamu.
-
Wiki ya Umoja wa Kiislamu na Ujumbe wa Mtume (saw)
Dec 05, 2017 11:57Tumo katika kipindi cha Wiki ya Umoja wa Kiislamu.