Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Umoja wa Mataifa

  • UN: Wakimbizi 70,000 wa Dadaab wanataka kurudu Somalia

    UN: Wakimbizi 70,000 wa Dadaab wanataka kurudu Somalia

    Oct 04, 2016 04:32

    Umoja wa Mataifa umesema robo ya wakimbizi wa Kisomali wanaoishi katika kambi ya Dadaab nchini Kenya wametangaza utayarifu wao wa kurejea nchini kwao Somalia karibuni hivi.

  • Indhari ya Umoja wa Mataifa kuhusiana na hali mbaya ya kibinadamu kaskazini mashariki mwa Nigeria

    Indhari ya Umoja wa Mataifa kuhusiana na hali mbaya ya kibinadamu kaskazini mashariki mwa Nigeria

    Oct 02, 2016 04:27

    Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametahadharisha kwamba, iwapo nchi wafadhili hazitaisadia serikali ya Nigeria katika kuishughulikia hali mbaya ya kimaisha wanayokabiliwa nayo wakazi wa kaskazini mashariki mwa nchi hiyo, basi ulimwengu utashuhudia mgogoro mbaya zaidi wa kibinadamu katika eneo hilo la magharibi mwa Afrika.

  • Umoja wa Mataifa kuimarisha kikosi chake cha kusimamia amani CAR

    Umoja wa Mataifa kuimarisha kikosi chake cha kusimamia amani CAR

    Oct 01, 2016 12:12

    Mkurugenzi wa Masuala ya Mawasiliano ya Wasimamia Amani wa Umoja wa Mataifa katika Jamhuri ya Afrika ya Kati ametangaza kuwa, umoja huo una mpango wa kuimarisha zaidi kikosi chake katika nchi hiyo.

  • Umoja wa Mataifa: Maefu ya watoto Nigeria wanakabiliwa na hatari ya kifo kutokana na ukame

    Umoja wa Mataifa: Maefu ya watoto Nigeria wanakabiliwa na hatari ya kifo kutokana na ukame

    Oct 01, 2016 10:29

    Umoja wa Mataifa umetahadharisha kwamba, endapo misaada ya kimataifa haitafika kwa wakati, basi maelfu ya watoto wa kaskazinu mashariki mwa Nigeria watafariki dunia ifikapo mwakani kutokana na ukame na lishe duni.

  • UN: Watoto 75 elfu wapo katika hatari ya kufa njaa Nigeria

    UN: Watoto 75 elfu wapo katika hatari ya kufa njaa Nigeria

    Sep 29, 2016 10:24

    Umoja wa Mataifa umetahadharisha kuwa, maelfu ya watoto wadogo wapo katika hatari ya kupoteza maisha katika kipindi cha mwaka mmoja ujao, kutokana na njaa na utapiamlo 'uliosababishwa' na kundi la wanamgambo wa Boko Haram.

  • UNHCR yataka uchunguzi ufanyike kuhusu machafuko ya Kinshasa

    UNHCR yataka uchunguzi ufanyike kuhusu machafuko ya Kinshasa

    Sep 28, 2016 03:45

    Umoja wa Mataifa umetaka kufanyike uchunguzi kuhusu ghasia na machafuko yaliyotokea hivi karibuni huko Kinshasa mji mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

  • UN yatahadharisha kuhusu hatari ya mauaji ya kimbari Burundi

    UN yatahadharisha kuhusu hatari ya mauaji ya kimbari Burundi

    Sep 21, 2016 10:38

    Kundi la wachunguzi wa Umoja wa Mataifa limetahadharisha kuhusu hatari ya mauaji ya kimbari yanayonukia huko Burundi na kueleza kuwa, mwenendo jumla wa kauli zenye kuleta mgawanyiko wa kikabila zinazotolewa na serikali ya nchi hiyo zinamaanisha kuwa mzozo unaweza kuenea hadi katika nchi nyingine za Kiafrika.

  • Jumatatu, Septemba 19, 2016

    Jumatatu, Septemba 19, 2016

    Sep 19, 2016 01:27

    Leo ni Jumatatu tarehe 17 Mfunguo Tatu Dhulhija mwaka 1437 Hijria mwafaka na tarehe 19 Septemba 20176

  • Wasiwasi wa Umoja wa Mataifa kuhusu hali ya wakimbizi katika Bonde la Ziwa Chad

    Wasiwasi wa Umoja wa Mataifa kuhusu hali ya wakimbizi katika Bonde la Ziwa Chad

    Sep 16, 2016 22:12

    Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) limetangaza kuwa kuna ulazima wa kuongezwa misaada kwa ajili ya wakaazi wa eneo la Bonde la Ziwa Chad.

  • UN yatahadharisha kuhusu kushindwa kusoma watoto wakimbizi

    UN yatahadharisha kuhusu kushindwa kusoma watoto wakimbizi

    Sep 15, 2016 11:55

    Shirika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa (UNHCR) limetahadharisha kuhusu kushindwa kwenda shule watoto wakimbizi.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS