-
Kufichuliwa jinai mpya za Israel dhidi ya watoto
Sep 14, 2016 03:38Ripoti iliyochapishwa na Shirika la Biashara na Maendeleo la Umoja wa Mataifa kuhusu jinai za utawala wa Kizayuni zimewakasirisha viongozi wa utawala huo.
-
Umoja wa Mataifa watiwa wasiwasi na hali ya Sahara Magharibi
Sep 08, 2016 03:29Umoja wa Mataifa umesema unatiwa wasiwasi na hali ya mambo katika eneo la kusini ya Sahara Magharibi.
-
Ki-moon asisitiza kulindwa umoja wa kisiasa Kongo
Sep 07, 2016 09:25Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ameyatolea wito makundi yanayozozana nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kulinda umoja wa kisiasa na kujiunga na mchakato wa mazungumzo ya kitaifa ili nchi hiyo irejee katika hali ya amani na utulivu.
-
UN yawakosoa wanasiasa wanaohujumu Uislamu
Sep 06, 2016 11:54Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa amewashambulia wanasiasa wanaohujumu Uislamu kama Donald Trump na mwenzake wa Uholanzi, Geert Wilders akisema kuwa ni walaghai na vidhabadhabina vya kisiasa.
-
Israel yakasirishwa na ukosoaji wa UN kuhusu ujenzi haramu wa vitongoji
Aug 30, 2016 10:54Utawala wa Kizayuni wa Israel umekasirishwa na ukosoaji wa hivi karibuni wa Umoja wa Mataifa kuhusu ujenzi haramu wa vitongoji unaofanywa na utawala huo ghasibu katika ardhi za Palestina unazozikalia kwa mabavu.
-
Takwa la Umoja wa Mataifa la kutolewa misaada kwa ajili ya wakimbizi barani Afrika
Aug 30, 2016 06:53Mkuu wa Shirika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa UNCHR amesisitiza kuwa, jamii ya kimataifa inapaswa kuonyesha radiamali kwa mgogoro wa wakimbizi uliotokana na vita vya ndani huko Sudan Kusini kama ilivyoonyesha kuhusiana na mgogoro wea wahajiri barani Ulaya.
-
UNDP yatahadharisha kuhusu usawa wa kijinsia Afrika
Aug 28, 2016 23:34Umoja wa Mataifa umezitolea wito nchi za Kiafrika kufanya jitihada za kujaza pengo la usawa wa kijinsia katika nchi hizo pengo ambalo kila mwaka husababisha hasara ya dola bilioni 95 kwa nguvu za kiuchumi.
-
WFP: Watu milioni 4.5 wanahitaji msaada wa chakula kaskazini mashariki mwa Nigeria
Aug 24, 2016 10:21Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa tangu mwezi Machi mwaka huu hadi sasa, idadi ya watu wanaohitaji msaada wa chakula kaskazini mashariki mwa Nigeria imeongezeka maradufu na kufikia milioni 4.5.
-
Serikali ya Libya yapigiwa kura ya kutokuwa na imani nayo
Aug 22, 2016 23:40Serikali ya Libya inayoungwa mkono na Umoja wa Mataifa imepata pigo kubwa baada ya wabunge katika bunge la nchi hiyo linalotambuliwa kimataifa kuikataa.
-
Ethiopia yatakiwa iruhusu uchunguzi huru kuhusiana na tuhuma za ukiukaji haki za binadamu Oromia
Aug 20, 2016 03:31Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa ameitaka serikali ya Ethiopia itoe fursa kwa waangalizi huru kutembelea maeneo ya Oromia na Amhara kufuatia tuhuma za ukiukaji mkubwa wa haki za binadamu ambao umeripotiwa kufanywa na vyombo vya usalama katika maeneo hayo.