-
Rais Joseph Kabila wa DRC aonana na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa
Apr 24, 2016 10:19Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ameonana na Ban Ki mooon, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa na kujadiliana naye hali ya kisiasa na kiusalama ya nchi hiyo.
-
Machar: Nisilaumiwe, serikali ya Juba imenizuia kuingia nchini, yumkini nitasafiri Jumatatu
Apr 24, 2016 03:00Kiongozi wa waasi wa Sudan Kusini Riek Machar amesema binafsi anatamani kusafiri kwenda mji mkuu wa nchi hiyo Juba lakini serikali ya Rais Salva Kiir ndio imemnyima kibali cha kuingia mjini humo.
-
UN yazitaka pande hasimu Yemen kuzungumza kwa nia njema
Apr 21, 2016 03:31Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amezitaka pande zinazozozana katika mgogoro wa Yemen kuketi kwenye meza ya mazungumzo ya Kuwait kwa nia njema.
-
UN yathibitisha, mamia ya wahajiri wameghariki pwani ya Libya
Apr 21, 2016 02:44Umoja wa Mataifa umethibitisha kuwa, mamia ya wahamiaji haramu wamezama katika maji ya ya Libya baada ya boti waliyokuwa wakisafiria kuzama baharini.
-
UN yataka kuongezwa muda askari wake wa Sahara Magharibi
Apr 20, 2016 03:20Ban Ki-moon, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametoa wito wa kuongezewa muda wa kuhudumu askari wa kulinda amani wa umoja huo katika eneo la Sahara Magharibi MINURSO, akionya kuwa, iwapo vikosi hivyo vitaondolewa kikamilifu, eneo hilo litakuwa katika hatari ya kushuhudia migogoro zaidi.
-
Askari wa Umoja wa Mataifa auawa Jamhuri ya Afrika ya Kati
Apr 19, 2016 03:20Askari wa kulinda Amani wa Umoja wa Mataifa ameuawa katika hujuma ya waasi huko Jamhuri ya Afrika ya Kati.
-
Hali tete ya Libya
Apr 18, 2016 03:39Hali ya mambo nchini Libya inatajwa kuwa ni tete licha ya kuanza kazi serikali ya umoja wa kitaifa iliyoungwa mkono na kukaribishwa na jamii ya kimataifa.
-
Viongozi wa kisiasa wa Kongo watolewa wito wa kushiriki mazungumzo
Apr 17, 2016 10:50Mkuu wa kikosi cha kulinda amani cha Umoja wa Mataifa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo amewatolea wito viongozi wa kisiasa wa nchi hiyo kushiriki mazungumzo ya kitaifa ya nchi hiyo.
-
Iran yajibu tuhuma za Saudia na Utawala wa Kizayuni
Apr 15, 2016 03:14Mwakilishi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa ametoa jibu kali kwa matamshi yasiyo na msingi ya mabalozi wa Utawala wa Kizayuni wa Israel na Saudia dhidi ya Iran.
-
Mjumbe wa UN kuitembelea Tehran kuhusu mgogoro wa Syria
Apr 08, 2016 03:47Staffan de Mistura mjumbe maalumu wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Syria anatazamiwa kuitembelea Iran karibuni hivi.