-
UN: Hali ya watu wa Darfur inatia wasiwasi
Feb 08, 2016 04:04Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa makumi ya maelfu ya raia waliokimbia mapigano makali yanayoendelea kati ya jeshi la serikali ya Sudan na waasi wa eneo la Jabal al Murrah huko magharibi mwa Darfur wanaishi katika hali inayovunja moyo na kuhuzunisha.
-
Umoja wa Mataifa watahadharisha kuhusu hali hatari ya Ukanda wa Ghaza
Feb 07, 2016 00:11Ripoti mbalimbali kuhusu Ghaza zinabainisha kuwa eneo hilo linakabiliwa na hali mbaya kutokana na kusuasua zoezi la kukarabati uharibifu uliosababishwa na jinai kubwa za utawala wa Kizayuni hususan katika vita vitatu vilivyoanzishwa na utawala wa Kizayuni huko Ghaza.
-
Tuhuma mpya dhidi ya askari wa kulinda amani katika Jamhuri ya Afrika ya Kati
Feb 05, 2016 10:37Umoja wa Mataifa umetangaza kutolewa tuhuma mpya dhidi ya askari wake wanaohudumu katika Jamhuri ya Afrika ya Kati.
-
Kuendelea mashambulizi dhidi ya Yemen na uwezekano mdogo wa kufanyika mazungumzo ya amani
Feb 05, 2016 03:41Huku mapigano katika maeneo tofauti ya Yemen yakipamba moto, Saudi Arabia imeendelea kukwamisha juhudi za kidiplomasia za kuutatua kisiasa mgogoro huo, suala ambalo limewafanya wanadiplomasia wa Umoja wa Mataifa kusema kuwa, ni jambo lililo mbali kufikiria kufanyika mazungumzo hayo katika siku za hivi karibuni.
-
Katibu Mkuu wa UN: Viongozi wa Afrika msing'ang'anie madaraka
Jan 31, 2016 04:02Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-moon amewaambia viongozi wa Afrika kuwa haipasi kutumia mianya ya kisheria au mabadiliko ya Katiba yasiyo ya kidemokrasia ili "kung'ang'ania madaraka", na kwamba wanapaswa kuheshimu kikomo cha muhula wa kubakia madarakani.
-
Israel haina budi kuangamiza silaha zake za nyuklia
Jan 29, 2016 12:00Afisa mwandamizi wa Umoja wa Mataifa amesema utawala haramu wa Israel sasa hauna kisingizio cha kutotia saini Mkataba wa Kupiga Marufuku Kikamilifu Majaribio ya Silaha za Nyuklia (CTBT) baada ya mapatano ya nyuklia baina ya Iran na nchi za Magharibi.
-
Kuakhirishwa duru ya pili ya uchaguzi wa Rais wa CAR
Jan 28, 2016 11:32Duru ya mwisho ya uchaguzi wa Rais wa Jamhuri ya Afrika ya Kati ambayo ilipangwa kufanyika tarehe 31 mwezi huu imeakhirishwa.
-
UN yakosoa tena jinai za utawala ghasibu wa Israel
Jan 28, 2016 04:06Umoja wa Mataifa umesisitiza tena misimamo yake kuhusu jinai zinazofanywa na utawala ghasibu wa Israel dhidi ya wananchi wa Palestina siku moja baad aya utawala huo kupinga matamshi ya Katibu Mkuu wa umoja huo ddhidi ya mienendo ya Israel.
-
Ban atoa wito wa kuzuiwa hujuma dhidi ya Uislamu
Jan 28, 2016 03:50Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema kwamba vitendo vya hujuma dhidi ya wageni, propaganda chafu dhidi ya Uislamu na mivutano ya kikaumu na kimadhehebu vimeongeseka kote duniani na kuogeza kuwa kutolewa elimu sahihi ndiyo ufunguo wa matatizo hayo yote.
-
Iran: Kuendelea jinai za Israel ni natija ya kutokuwa na uwezo Baraza la Usalama
Jan 27, 2016 10:16Naibu Mwakilishi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa amesema kuwa kuendelea jinai za utawala wa Israel katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu ni kutokuwa na uwezo Baraza la Usalama katika kutekeleza wadhifa wake.