-
Mkuu wa haki za binadamu wa UN awakosoa wanasiasa kwa kukandamiza haki za binadamu
Sep 10, 2024 03:47Mkuu wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa jana alifungua kikao cha 57 cha Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa mjini Geneva Uswisi na kuzungumzia masuala mbalimbali yanayoisibu dunia ikiwemo machafuko ya kisiasa, kukandamizwa haki za wanawake na uhuru wa vyombo vya habari na kujieleza.
-
Takwa la Umoja wa Mataifa la kuwekewa vikwazo Israel
Sep 09, 2024 09:36Ripota maalumu wa Umoja wa Mataifa kuhusu haki ya chakula amesema kuwa, Israel sio tu inazuia misaada ya kibinadamu kuingia Gaza, bali pia inaharibu ardhi na vyanzo vya chakula vya Palestina.
-
Sudan yapinga ripoti ya Umoja wa Mataifa, yasema ni ya kisiasa
Sep 08, 2024 08:33Sudan imekadhibisha ripoti mpya ya Jopo Huru la Umoja wa Mataifa la Kutafuta Ukweli, ambayo inazituhumu pande zinazozozana nchini humo kwa kufanya ukiukaji mkubwa wa haki za binadamu ambao unaweza kuwa uhalifu wa kivita.
-
Kifo cha Mmarekani Mturuki kimedhihirisha unafiki na undumilakuwili wa Marekani
Sep 07, 2024 07:35Msimamo wa Marekani wa kutoa mijibizo tofauti kuhusiana na vifo vya raia wake waliouliwa na jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel na wale waliofariki katika matukio mengine umedhihirisha unafiki na undumilakuwili wa serikali ya Washington.
-
Baada ya jela zake kujaa, Uingereza inafikiria kuwahamishia wafungwa wake Estonia
Sep 07, 2024 07:29Gazeti la Telegraph limeripoti kuwa, Serikali ya Uingereza inafikiria kukodi nafasi katika magereza ya Estonia kutokana na jela zake kufurika wafungwa.
-
Maghala ya nyuklia ya Israel tishio kubwa kwa amani na usalama wa dunia
Sep 06, 2024 23:00Balozi na mwakilishi wa kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa amesema kuwa, silaha za nyuklia za utawala wa Kizayuni wa Israel ni tishio kubwa kwa amani na usalama wa kikanda na wa ulimwengu mzima.
-
Wito wa Umoja wa Mataifa wa kusimamishwa operesheni za kijeshi za utawala wa Kizayuni katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan
Aug 30, 2024 09:07Antonio Guterres, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ameutaka utawaa ghasibu wa Israel kusitisha mara moja operesheni zake za kijeshi katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
UN yakosoa azma ya Israel ya kujenga sinagogi katika Msikiti wa al-Aqsa
Aug 27, 2024 08:48Msemaji wa Umoja wa Mataifa amekosoa vikali pendekezo lililotolewa hivi karibuni na Waziri wa Usalama wa Israel, Itamar Ben Gvir, la kutaka kujenga sinagogi ndani ya Msikiti wa Al-Aqsa.
-
Maafisa wa UNRWA: Kila kitu cha maafa kinachoonekana Ghaza hakijawahi kutokea
Aug 27, 2024 03:20Maafisa waandamizi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi wa Palestina UNRWA wamesema, maafa na masaibu yanayowapata Wapalestina katika Ukanda wa Ghaza hayajawahi kutokea.
-
Umoja wa Mataifa: Israel imeamuru kuhamishwa Wapalestina katika asilimia 86 ya Gaza
Aug 22, 2024 03:23Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa utawala ghasibu wa Israel umetoa amri ya kuhamishwa Wapalestina katika takriban asilimia 86 ya Ukanda wa Gaza unaozingirwa na Wazayuni.