• Mwakilishi wa Israel atoa wito wa kutenguliwa Umoja wa Mataifa

    Mwakilishi wa Israel atoa wito wa kutenguliwa Umoja wa Mataifa

    Aug 20, 2024 23:27

    Katika taarifa ya kushangaza, balozi wa utawala haramu wa Israel katika Umoja wa Mataifa, Gilad Erdan, ametoa wito wa kuvunjwa kikamilifu Umoja wa Mataifa.

  • Jeshi katili la Israel laua watu 15 wa familia moja wakiwemo watoto 9 Az-Zawayda, Ghaza

    Jeshi katili la Israel laua watu 15 wa familia moja wakiwemo watoto 9 Az-Zawayda, Ghaza

    Aug 17, 2024 07:03

    Jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel limewaua shahidi Wapalestina wasiopungua 16 wakiwemo jamaa 15 wa familia moja, tisa kati yao wakiwa ni watoto wadogo, katika shambulizi la kinyama lililolenga watu waliolazimika kuhama makazi yao katika eneo la Az-Zawayda katikati mwa Ukanda wa Ghaza.

  • Iran yatuma barua za malalamiko kwa maafisa wa haki za binadamu wa UN

    Iran yatuma barua za malalamiko kwa maafisa wa haki za binadamu wa UN

    Aug 14, 2024 11:27

    Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa mjini Geneva Uswisi amewatumia barua kwa nyakati tofauti maafisa wa haki za binadamu akibainisha malalamiko makubwa ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa hatua na sera zisizo z akibinadamu za utawala wa Kizayuni na hasa mauaji ya kigaidi ya Ismail Haniyeh kiongozi wa kisiasa wa Hamas.

  • Ripota wa UN: Israel inafanya mauaji ya kimbari Gaza kwa silaha za US, Ulaya

    Ripota wa UN: Israel inafanya mauaji ya kimbari Gaza kwa silaha za US, Ulaya

    Aug 11, 2024 04:05

    Ripota Maalumu wa Umoja wa Mataifa Kuhusu Haki za Binadamu huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu amekosoa vikali hatua ya utawala wa Kizayuni ya kuendelea kufanya mauaji na jinai nyingine za kutisha dhidi ya Wapalestina katika Ukanda wa Gaza.

  • Kipaumbele cha Iran ni usitishaji vita huko Gaza, utawala wa Israel utatiwa adabu

    Kipaumbele cha Iran ni usitishaji vita huko Gaza, utawala wa Israel utatiwa adabu

    Aug 10, 2024 07:06

    Mwakilishi wa Jamhuri ya Kiislamu katika Umoja wa Mataifa ameeleza kuwa, haki ya kujilinda kuhusiana na mauaji ya Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Hamas mjini Tehran haina uhusiano wowote na usitishaji vita huko Gaza na kusema kuwa, usitishaji vita katika eneo la Magharibi mwa Asia ni kipaumbele cha Iran.

  • Baraza la Usalama laidhinisha MONUSCO kuipa SADC msaada wa kilojistiki DRC

    Baraza la Usalama laidhinisha MONUSCO kuipa SADC msaada wa kilojistiki DRC

    Aug 07, 2024 03:13

    Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limepasisha azimio la kuidhinisha kikosi cha kusimamia amani cha umoja huo katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo MONUSCO kutoa msaada wa kiutendaji na wa suhula na zana za kijeshi kwa ujumbe wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) nchini DRC.

  • UN: Wapalestina Gaza wanahitaji chanjo haraka ili kuzuia polio

    UN: Wapalestina Gaza wanahitaji chanjo haraka ili kuzuia polio

    Jul 30, 2024 23:10

    Katika jitihada za kuzuia janga la ugonjwa wa polio huko Gaza, mashirika ya misaada ya kibinadamu ya Umoja wa Mataifa jana Jumanne yalikariri wito wa kufanyika jitihada za kimataifa za kuutaka utawala wa Israel usitishe vita ili kuruhusu kampeni kubwa ya utoaji chanjo kuanza.

  • Utayari wa Iran wa kushirikiana katika kuimarisha amani na usalama katika eneo

    Utayari wa Iran wa kushirikiana katika kuimarisha amani na usalama katika eneo

    Jul 20, 2024 04:31

    Amir Saeid Iravani Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa amesema kuwa, Iran iko tayari kushirikiana na nchi nyingine katika fremu ya Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai na Umoja wa Mataifa ili kukabiliana na changamoto za dharura na kuimarisha amani na usalama katika eneo.

  • Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa: Kila eneo la Gaza ni uwanja wa mauaji

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa: Kila eneo la Gaza ni uwanja wa mauaji

    Jul 17, 2024 00:07

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema kuwa, mashambulizi na jinai zinazoendelea kufanywa na jeshi la utawala ghasibu wa Israel katika kambi za wakimbizi wa Kipalestina huko Ukanda wa Gaza vimegeuza kila sehemu ya eneo hilo kuwa uwanja wa mauaji.

  • DRC: Askari wa UN kutoondoka kutokana na 'uvamizi' wa Rwanda

    DRC: Askari wa UN kutoondoka kutokana na 'uvamizi' wa Rwanda

    Jul 14, 2024 03:18

    Kikosi cha Kulinda Amani cha Umoja wa Mataifa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (MONUSCO) huenda kikalazimika kuakhirisha mpango wa kuwaondoa wanajeshi wake katika mkoa unaokumbwa na vita wa Kivu Kaskazini kutokana na kuwepo kwa askari wa Rwanda mashariki mwa DRC.