Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Umoja wa Mataifa

  • Wataalamu wa UN: Kuipelekea silaha Israel kukomeshwe mara moja!

    Wataalamu wa UN: Kuipelekea silaha Israel kukomeshwe mara moja!

    Feb 24, 2024 23:05

    Kundi la wataalamu wa Umoja wa Mataifa limeonya kwamba upelekaji wowote wa silaha au risasi kwa utawala wa Kizayuni wa Israel ambazo zitatumika katika mashambulizi ya ardhini na angani dhidi ya Wapalestina katika Ukanda wa Ghazza uliozingirwa unaweza ukawa unakiuka sheria za kimataifa za kibinadamu, na lazima ukomeshwe mara moja.

  • UN: Jeshi la Israel limewabaka, limewapiga vibaya na kuwanyima chakula na dawa wanawake Wapalestina

    UN: Jeshi la Israel limewabaka, limewapiga vibaya na kuwanyima chakula na dawa wanawake Wapalestina

    Feb 20, 2024 03:36

    Mamia ya wanawake na wasichana wa Kipalestina katika maeneo ya Ghazza na Ukingo wa Magharibi unaokaliwa kwa mabavu wamekuwa wakiwekwa kizuizini kiholela na jeshi la utawala haramu wa Kizayuni wa Israel tangu Oktoba 7, na kuripoti kuwa wamebakwa, kupigwa vibaya na kunyimwa chakula na dawa na askari wa jeshi hilo.

  • Umoja wa Mataifa: Idadi ya raia waliouawa huko Gaza haijawahi kushuhudiwa

    Umoja wa Mataifa: Idadi ya raia waliouawa huko Gaza haijawahi kushuhudiwa

    Feb 15, 2024 23:13

    Mkuu wa Kitengo cha Asia Magharibi katika Ofisi ya Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa amesema: Idadi ya raia na waandishi wa habari waliouawa huko Gaza haina mfano.

  • Umoja wa Mataifa walaani njama za kuichafua UNRWA

    Umoja wa Mataifa walaani njama za kuichafua UNRWA

    Feb 06, 2024 22:52

    Maripota wa Umoja wa Mataifa wametangaza kuwa, wanalaani vikali jaribio lolote la kuharamisha na kulichafua Shirika la Umoja wa Mataifa la Misaada na Ajira kwa Wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA).

  • Maripota wa Umoja wa Mataifa walaani njama za kuichafua UNRWA

    Maripota wa Umoja wa Mataifa walaani njama za kuichafua UNRWA

    Feb 05, 2024 12:13

    Maripota wa Umoja wa Mataifa wametangaza kwamba wanalaani vikali jaribio lolote la kuharamisha na kuchafua Shirika la Umoja wa Mataifa la Misaada na Ajira kwa Wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA).

  • Abdollahian akosoa vikali mashambulio ya Marekani dhidi ya Syria na Iraq

    Abdollahian akosoa vikali mashambulio ya Marekani dhidi ya Syria na Iraq

    Feb 04, 2024 03:57

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, hujuma na mashambulio ya hivi karibuni ya Marekani katika mataifa ya Syria na Iraq chimbuko lake ni utendaji wa kimakosa na usio sahihi wa Washington katika kutatua matatizo ya Asia Magharibi kwa ktumia mtutu wa bunduki.

  • UN yailaani Israel kwa kuwaua na kuwanyamazisha waandishi wa habari huko Gaza

    UN yailaani Israel kwa kuwaua na kuwanyamazisha waandishi wa habari huko Gaza

    Feb 02, 2024 10:36

    Wataalamu wa Haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa wameeleza kusitikishwa na kulaani vitendo vya waandishi wa habari kuuawa, kushambuliwa, kujeruhiwa na kuwekwa vizuizini na vikosi vya utawala wa Kizayuni wa Israel katika eneo la Palestina linalokaliwa kwa mabavu la Ukanda wa Gaza.

  • Umoja wa Mataifa washtushwa na mauaji ya watu 50 nchini Mali

    Umoja wa Mataifa washtushwa na mauaji ya watu 50 nchini Mali

    Feb 02, 2024 04:19

    Mkuu wa Ofisi ya Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa ameeleza kusikitishwa na mauaji ya karibuni ya makumi ya watu nchini Mali.

  • UN: Watu wa Gaza wanapambana kila siku ili kuishi

    UN: Watu wa Gaza wanapambana kila siku ili kuishi

    Feb 01, 2024 23:10

    Umoja wa Mataifa umesema kuwa wakazi wa Kipalestina wa Ukanda wa Gaza kila siku wanapambana ili kuweza kuishi.

  • UN: Maelfu ya Wapalestina wa Gaza waliokamatwa na askari wa Israel wanateswa

    UN: Maelfu ya Wapalestina wa Gaza waliokamatwa na askari wa Israel wanateswa

    Jan 20, 2024 03:52

    Umoja wa Mataifa umesema huenda vikosi vya jeshi la Israel vimewakamata maelfu ya Wapalestina wakazi wa Ukanda wa Gaza, huku utawala huo wa Kizayuni ukiendeleza mauaji na jinai za kutisha dhidi ya wakazi wa eneo hilo uliolizingira.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS