Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Umoja wa Mataifa

  • UN: Watu milioni 38 wanaishi na HIV, Ukimwi umeua 770,000, 2018

    UN: Watu milioni 38 wanaishi na HIV, Ukimwi umeua 770,000, 2018

    Dec 01, 2019 04:09

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema watu milioni 38 kote duniani wanaishi na virusi hatari vya HIV, huku ugonjwa wa Ukimwi unaosababishwa na virusi hivyo ukiua watu 770,000 mwaka jana 2018.

  • UN: Sudan Kusini yasajili kikosi kipya cha wapiganaji kinyume na makubaliano

    UN: Sudan Kusini yasajili kikosi kipya cha wapiganaji kinyume na makubaliano

    Nov 27, 2019 10:06

    Umoja wa Mataifa umesema Idara ya Usalama wa Taifa ya Sudan Kusini imeunda kikosi kipya chenye wapiganaji 10,000 kinyume na makubaliano ya amani.

  • Iran: Baraza la Usalama la UN linakabiliwa na migogoro ya uhalali na itibari, linahitaji mageuzi

    Iran: Baraza la Usalama la UN linakabiliwa na migogoro ya uhalali na itibari, linahitaji mageuzi

    Nov 26, 2019 04:36

    Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa amesema, Baraza la Usalama la umoja huo linakabiliwa na migogoro ya uhalali na itibari ambayo inapasa ishughulikiwe kwa kufanyiwa mageuzi baraza hilo.

  • UN: Thuluthi moja ya wanawake wanakabiliwa na dhulma za kijinsia

    UN: Thuluthi moja ya wanawake wanakabiliwa na dhulma za kijinsia

    Nov 25, 2019 08:42

    Umoja wa Mataifa umesema katika kila wanawake watatu, mmoja amekabiliwa na dhulma za kijinsia au kunajisiwa.

  • Jumuiya za kimataifa zapinga uteuzi wa Ghada Wali kuwa Mkurugenzi wa UNODC

    Jumuiya za kimataifa zapinga uteuzi wa Ghada Wali kuwa Mkurugenzi wa UNODC

    Nov 24, 2019 23:22

    Jumuiya za kimataifa za kutetea haki za binadamu zimepinga uteuzi uliofanywa na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres na kumtangaza Ghada Wali, Waziri wa Ustawi za Jamii wa Misri kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Kupambana na Mihadarati na Jinai (UNODC).

  • Wanachama wa Baraza la Usalama waikosoa vikali Marekani

    Wanachama wa Baraza la Usalama waikosoa vikali Marekani

    Nov 22, 2019 23:08

    Rais Donald Trump wa Marekani amechukua msimamo wa kuunga mkono kwa hali na mali na bila ya masharti yoyote utawala haramu wa Israel na licha ya maazimio kadhaa ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa yanayopiga marufuku kuunganishwa ardhi zinazokaliwa kwa mabavu na utawala huo tokea mwaka 1967, ikiwemo miinuka ya Golan ya Syria, lakini bado serikali ya Washington inauchukulia ukaliaji mabavu huo wa utawala wa Kizayuni kuwa ni jambo halali na linaloruhusiwa.

  • UN: Nusu ya waathriwa wa vita vya Yemen ni wanawake na watoto

    UN: Nusu ya waathriwa wa vita vya Yemen ni wanawake na watoto

    Nov 21, 2019 00:11

    Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Uratibu wa Masuala ya Kibinadamu nchini Yemen imetangaza kupitia taarifa kwamba, nusu ya waathiriwa wa vita vya nchi hiyo ni wanawake ni watoto.

  • UN: Watoto milioni 7 wapo kizuizini, Marekani yaongoza

    UN: Watoto milioni 7 wapo kizuizini, Marekani yaongoza

    Nov 20, 2019 04:09

    Ripoti mpya ya Umoja wa Mataifa imebainisha kuwa, watoto zaidi ya milioni saba wanashikiliwa katika jela na vituo mbalimbali duniani, huku Marekani ikiongoza katika orodha hiyo.

  • Zarif: EU haijachukua hatua yoyote ya maana ya kulinda JCPOA

    Zarif: EU haijachukua hatua yoyote ya maana ya kulinda JCPOA

    Nov 12, 2019 04:35

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amezikosoa nchi za Ulaya kwa kuakhirisha ahadi zao na kufeli kufungamana na mapatano ya nyuklia ya JCPOA, huku zikiitaka Tehran ifungamane kikamilifu na makubaliano hayo.

  • UN yakaribisha kuongezwa muda wa kipindi cha mpito Sudan Kusini

    UN yakaribisha kuongezwa muda wa kipindi cha mpito Sudan Kusini

    Nov 12, 2019 04:31

    Umoja wa Mataifa umekaribisha uamuzi wa Shirika la Kiserikali la Ustawi wa nchi za Mashariki mwa Afrika (IGAD) wa kurefusha kwa siku 100 kipindi cha mpito nchini Sudan Kusini.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS