Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Umoja wa Mataifa

  • Guterres: Kuna udharura wa kupambana na chuki dhidi ya Uislamu duniani

    Guterres: Kuna udharura wa kupambana na chuki dhidi ya Uislamu duniani

    Mar 16, 2019 01:15

    Katibu MKuu wa Umoja wa Mataifa sanjari na kulaani mashambulio ya kigaidi yaliyofanywa dhidi ya misikiti miwili katika mji wa Christchurch nchini New Zealand jana Ijumaa na kuua makumi ya watu, ametoa mwito wa kuundwa mikakati ya kupambana na chuki dhidi Uislamu zinazoenea kwa kasi katika maeneo mbalimbali ya dunia.

  • Burundi yakosoa vikali ripoti ya haki za binadamu ya UN+SAUTI

    Burundi yakosoa vikali ripoti ya haki za binadamu ya UN+SAUTI

    Mar 14, 2019 12:26

    Serikali ya Burundi imekosoa vikali ripoti mpya iliyotolewa na Ofisi ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa, iliyobaini kuendelea kwa ukiukaji wa haki za binadamu nchini humo.

  • UN: Kimbunga na mafuriko yameua watu 10 Msumbiji

    UN: Kimbunga na mafuriko yameua watu 10 Msumbiji

    Mar 12, 2019 04:10

    Kwa akali watu 10 wamepoteza maisha kutokana na mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha nchini Msumbiji.

  • Kumbukumbu ya kufa shahidi Imam Hadi (AS)

    Kumbukumbu ya kufa shahidi Imam Hadi (AS)

    Mar 10, 2019 04:37

    Assalamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakatuh. Wapenzi wasikilizaji, tumo kwenye masiku ya mwezi mtukufu wa Rajab ambapo tarehe 3 ya mwezi huu mwaka 254 hijria ni siku aliyokufa shahidi mwana mwengine mtoharifu wa Bwana Mtume Muhammad (SAW).

  • UN yatafakari kupunguza askari wake wa kulinda amani DRC

    UN yatafakari kupunguza askari wake wa kulinda amani DRC

    Mar 08, 2019 00:06

    Huenda idadi ya askari wa Kikosi cha Kusimamia Amani cha Umoja wa Mataifa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo MONUSCO ikapunguzwa.

  • UN yaiokosoa Israel kwa kupinga ripoti ya mauaji ya Wapalestina Gaza

    UN yaiokosoa Israel kwa kupinga ripoti ya mauaji ya Wapalestina Gaza

    Mar 06, 2019 23:23

    Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa, Michelle Bachelet ameeleza kusikitishwa kwake na hatua ya Israel kupinga ripoti ya wataalamu wa umoja huo kuhusu mauaji ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza yaliyofanywa na askari katili wa utawala huo haramu.

  • Muhammad Abdul-Salam: Kimya cha Umoja wa Mataifa kinawapa jeuri zaidi wavamizi wa Yemen

    Muhammad Abdul-Salam: Kimya cha Umoja wa Mataifa kinawapa jeuri zaidi wavamizi wa Yemen

    Mar 02, 2019 12:22

    Mkuu wa ujumbe wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen kwenye mazungumzo ya amani amesema kuwa, kimya cha Umoja wa Mataifa kimekuwa kikiupa jeuri zaidi muungano vamizi dhidi ya Yemen na kuushajiisha kutenda jinai zaidi.

  • Antonio Guterres: Haki za Binadamu ulimwenguni zimo katika hali ya kutoweka

    Antonio Guterres: Haki za Binadamu ulimwenguni zimo katika hali ya kutoweka

    Feb 25, 2019 12:16

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ameonyesha kuchukizwa na suala la kuongezeka chuki dhidi ya wahajiri, ubaguzi na kupungua kiwango cha watu kustahamiliana.

  • Ijumaa,  22 Februari, 2019

    Ijumaa, 22 Februari, 2019

    Feb 21, 2019 21:39

    Leo ni Ijumaa tarehe 16 Jumadithani 1440 Hijria sawa na Februari 22 mwaka 2019.

  • Venezuela yatoa mwito wa kuungwa mkono na UN kukabiliana na

    Venezuela yatoa mwito wa kuungwa mkono na UN kukabiliana na "Hujuma ya Kijeshi"

    Feb 21, 2019 21:39

    Ofisi ya uwakilishi ya Venezuela katika Umoja wa Mataifa imewaalika mabalozi wa nchi 46 wanacjama kushiriki kikao ambacho lengo lake ni kuutaka umoja huo utimize wajibu wake wa kupinga vitisho vya uanzishaji "hujuma ya kijeshi".

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS