-
Iran yasema ipo tayari kusaidia operesheni za kulinda amani duniani
Feb 14, 2018 04:39Balozi na mwakilishi wa kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa ameueleza umoja huo juu ya utayarifu wa Tehran wa kuchangia na kusaidia operesheni za kulinda amani duniani.
-
UN: Myanmar haijaandaa mazingira salama ya kurejea nchini Warohingya
Feb 14, 2018 03:55Kamishna Mkuu wa Shirika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa (UNHCR) amesema Myanmar imeshindwa kuandaa mazingira salama ya kuruhusu kurejea kwa khiari nchini humo Waislamu wakimbizi 688,000 Warohingya waliokimbilia nchi jirani ya Bangladesh.
-
Israel yabomoa shule za EU huko Palestina inyaokaliwa kwa mabavu
Feb 09, 2018 11:00Umoja wa Mataifa umetahadharisha kuwa, Wapalestina na Mabedui wanaoishi katika kitongoji cha Area C katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan huko Palestina wapo katika hatari ya kufurushwa kwenye makazi yao na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Kikao cha UN kuhusu Syria chamalizika bila ya kufikiwa natija
Feb 08, 2018 23:39Kikao cha Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kilichofanyika jana mjini New York kujadili hali ya kibinadamu nchini Syria kimemalizika bila ya kufikia natija yoyote.
-
Onyo la Syria kuhusiana na uungaji mkono mkubwa unaofanywa na Israel kwa ugaidi
Feb 08, 2018 23:01Wizara ya Mambo ya Nje ya Syria imemwandikia barua Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa na Rais wa Baraza la Usalama la umoja huo kulalamikia mashambulio mapya yaliyofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya eneo moja lililoko kwenye viunga vya Damascus, mji mkuu wa Syria.
-
UN yawawekea vikwazo jenerali wa jeshi Congo DR, makamanda wa waasi
Feb 03, 2018 12:04Kamati ya Vikwazo ya Umoja wa Mataifa imeyaweka majina manne ya makamanda wengine wa kijeshi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo katika orodha yake nyeusi.
-
UN yaitaka serikali ya Kenya iheshimu uhuru wa vyombo vya habari
Feb 03, 2018 04:05Umoja wa Mataifa umeitaka serikali ya Kenya kuheshimu agizo la mahakama lililoitaka ibatilishe hatua yake ya kuzifungia televisheni tatu kupeperushaji matangazo baada ya stesheni hizo kurusha moja kwa moja hafla ya kuapishwa kiongozi wa upinzani wa nchi hiyo Raila Odinga.
-
Naibu balozi wa Iran UN: Ukosefu wa usalama unaongeza umasikini
Feb 02, 2018 00:36Naibu balozi na mwakilishi wa kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa amesema kuwa, ukosefu wa usalama na amani unachangia kuongezeka umasikini duniani.
-
Wasiwasi wa UN kuhusu kurejeshwa kwa nguvu wakimbizi Waislamu wa Rohingya
Jan 29, 2018 10:23Umoja wa Mataifa umesema una wasiwasi mkubwa na suala la kufukuzwa kutoka Bangladesh wakimbizi Waislamu wa jamii ya Rohingya wa Myanmar.
-
Guterres asema dunia haiwezi kuwa na amani bila kusuluhishwa migogoro ya Afrika
Jan 28, 2018 04:23Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesisitizia umuhimu wa kupatiwa ufumbuzi changamoto na migogoro inayozikumba nchi za bara Afrika kwa maslahi ya amani na maendeleo ya dunia.