-
UNRWA yazindua mfuko wa kimataifa baada ya Marekani kuipungizia misaada
Jan 23, 2018 04:24Shirika la Kuhudumia Wakimbizi wa Kipalestina la Umoja wa Mataifa UNRWA limezindua mfuko wa kimataifa utakaoisaidia taasisi hiyo kutekeleza majukumu yake baada ya Marekani kuipunguzia misaada.
-
Ripoti ya UN yataka askari wa kulinda amani watumie nguvu
Jan 23, 2018 04:07Ripoti ya wataalamu wa Umoja wa Mataifa imetoa pendekezo kwa askari wa kulinda amani wa umoja huo kutumia 'nguvu' kuzima tishio dhidi yao wanapolazimika kufanya hivyo wakiwa katika operesheni zao.
-
Marekani yakosolewa kwa kuipunguzia msaada UNRWA
Jan 17, 2018 11:33Shirika la Umoja wa Mataifa la kuwashughulikia wakimbizi wa Kipalestina limekosoa vikali hatua ya Marekani ya kuipunguzia msaada tasisi hiyo kwa zaidi ya asilimia 50.
-
Museveni aituhumu UN kuwa 'inalinda ugaidi' Kongo DR
Jan 17, 2018 11:14Rais Yoweri Museveni wa Uganda ameibua tuhuma nzito dhidi ya Umoja wa Mataifa akidai kuwa chombo hicho cha kimataifa 'kinalinda ugaidi' mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
UN: Watu laki moja wanahitajia msaada Jamhuri ya Afrika ya Kati
Jan 17, 2018 01:02Msemaji wa Umoja wa Mataifa amesema takriban watu laki moja wanahitajia msaada katika Jamhuri ya Afrika ya Kati.
-
UN: 75% ya wananchi wa Yemen wanahitajia misaada
Jan 16, 2018 11:16Umoja wa Mataifa umesema idadi ya raia wa Yemen wanaohitajia misaada imeongezeka na kufikia milioni 22.2, huku makali ya njaa yakiongeza masaibu ya Wayemen wanaokabiliwa na mashambulizi ya Saudi Arabia kwa miaka mitatu sasa.
-
Matusi ya Trump dhidi ya Waafrika yazidi kulaaniwa
Jan 13, 2018 04:19Mabalozi wa nchi 54 za Afrika katika Umoja wa Mataifa wamelaani vikali matusi na kejeli za rais wa Marekani dhidi ya Waafrika.
-
Umoja wa Mataifa watiwa wasiwasi na hali inavyoendelea nchini Tunisia
Jan 13, 2018 04:17Umoja wa Mataifa umesema umetiwa wasiwasi na idadi kubwa ya watu waliotiwa mbaroni nchini Tunisia.
-
Umoja wa Mataifa wataka kufanyika uchaguzi Libya mwaka huu
Jan 11, 2018 00:29Umoja wa Mataifa umesema uko tayari kuisaidia Libya katika maandalizi ya uchaguzi mkuu kufikia mwishoni mwa mwaka huu 2018.
-
Alkhamisi tarehe 11 Januari, 2018
Jan 11, 2018 00:25Leo ni Alkhamisi tarehe 23 Rabiuthani 1439 Hijria, sawa na Januari 11, 2018.