-
Mogherini aunga mkono makubaliano ya Bangladesh na Myanmar ya kurejea Waislamu Warohingya
Nov 24, 2017 03:42Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya amesema kuwa umoja huo unaunga mkono makubaliano yaliyofikiwa kati ya Bangladesh na Myanmar ya kurejea nyumbani wakimbizi wa Kiislamu wa jamii ya Rohingya.
-
AU: Ulaya unahusika katika matatizo yanayolikumba bara la Afrika
Nov 24, 2017 00:49Mwenyekiti wa hivi sasa wa Umoja wa Afrika, Rais Alpha Condé wa Guinea Conakry amesema kuwa, Umoja wa Ulaya unahusika katika sehemu ya matatizo yanayolikabili bara la Afrika.
-
EU: Hakuna uwezekano wa kujadiliwa upya makubaliano ya nyuklia ya Iran
Nov 21, 2017 10:48Afisa mwandamizi wa taasisi moja ya Umoja wa Ulaya amesema hakuna uwezekano wala mpango wowote wa kuyadili upya makubaliano ya nyuklia ya Iran.
-
Nchi kadhaa za Ulaya zakubali kupokea wakimbizi
Nov 18, 2017 03:30Nchi kadhaa za Umoja wa Ulaya zimeafiki kupokea wakimbizi wapya baada ya tahadhari iliyotolewa na Umoja wa Mataifa.
-
UN: Kitendo cha EU kuisaidia Libya kuwazuilia wakimbizi sio cha kibinadamu
Nov 15, 2017 03:53Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa amesema sera ya Umoja wa Ulaya ya kuwasaidia maafisa wa serikali ya Libya kuwazuilia wakimbizi wanaotaka kwenda Ulaya kupitia safari hatari za baharini ni kitendo kisicho cha ubinadamu.
-
EU yamtaka Hariri arejee Lebanon, yaionya Saudia dhidi ya uingiliaji wa masuala ya nchi hiyo
Nov 14, 2017 03:46Umoja wa Ulaya umemtaka Waziri Mkuu wa Lebanon aliyetangaza kujiuzulu hivi karibuni, Saad Hariri arejee katika nchi yake huku ukiitahadharisha Saudi Arabia dhidi ya kuingilia masuala ya ndani ya nchi hiyo.
-
Mwanga wa kuzidi kuimarika uhusiano wa Ulaya na Iran
Nov 13, 2017 09:12Is'haq Jahangiri, Makamu wa Kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametangaza habari ya kuwekwa kwenye ajenda kuu suala la kufunguliwa ofisi ya Umoja wa Ulaya hapa mjini Tehran.
-
Umoja wa Ulaya kuhakikisha pande zote zinatekeleza mapatano ya nyuklia ya Iran
Nov 10, 2017 23:42Umoja wa Ulaya umetangaza kuwa utahakikisha kuwa mapatano ya nyuklia ya mwaka 2015 baina ya Iran na madola sita makubwa duniani yanatekelezwa kikamilifu na pande husika.
-
Umoja wa Ulaya wazungumza na Tunisia kuhusu njia za kupambana na ugaidi
Oct 19, 2017 00:32Maafisa wa kupambana na ugaidi wa Umoja wa Ulaya wameitisha kikao na viongozi wa Tunisia kujadiliana njia za kupambana na ugaidi.
-
Umoja wa Ulaya wasisitiza utekelezwaji kikamilifu mapatano ya nyuklia ya Iran
Oct 17, 2017 04:36Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Umoja wa Ulaya Jumatatu baada ya kumalizika kikao chao mjini Luxembourg walitoa taarifa na kutuangaza kuunga mkono na kuendeleza ushirikiano kuhusu mapatano ya nyuklia ya Iran yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezwaji, JCPOA.