Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

UNICEF

  • Unicef: Makumi ya watoto wameuawa Mashariki ya Kati tangu Januari mwaka huu

    Unicef: Makumi ya watoto wameuawa Mashariki ya Kati tangu Januari mwaka huu

    Feb 06, 2018 04:14

    Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa (UNICEF) umetangaza kuwa, watoto wasiopungua 87 wameuawa katika eneo la Mashariki ya Kati katika mwezi mmoja uliopita katika mapigano yanayotokea kwenye nchi za eneo hilo.

  • UNICEF: Watoto milioni 11 wa Yemen wanahitajia misaada ya kibinadamu

    UNICEF: Watoto milioni 11 wa Yemen wanahitajia misaada ya kibinadamu

    Jan 31, 2018 04:32

    Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa UNICEF umetangaza kuwa, hali ya kibinadamu nchini Yemen ni mbaya mno na kwamba, zaidi ya watoto milioni 11 wa nchi hiyo wanahitajia misaada ya kibinadamu.

  • UNICEF yataka watoto wa DRC wasaidiwe haraka

    UNICEF yataka watoto wa DRC wasaidiwe haraka

    Jan 31, 2018 01:01

    Mjumbe wa Mfuko wa Umoja wa Mataifa wa Kuhudumia Watoto (Unicef) huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ameyataka mataifa ya dunia kukusanya dola milioni 268 za kudhamini mahitaji ya dharura ya watoto milioni 6 na laki tatu wa nchi hiyo.

  • Unicef yakosoa kutoheshimu sheria pande zinazozozana Libya

    Unicef yakosoa kutoheshimu sheria pande zinazozozana Libya

    Jan 25, 2018 10:58

    Mjumbe Maalumu wa Mfuko wa Kuhudumia Watoto wa Umoja wa Mataifa (Unicef) nchini Libya amezitaka pande zinazozozana nchini humo kuheshimu sheria za kimataifa.

  • UNICEF yataka kuandaliwa mazingira ya kurejea wakimbizi watoto wa Myanmar

    UNICEF yataka kuandaliwa mazingira ya kurejea wakimbizi watoto wa Myanmar

    Jan 25, 2018 03:54

    Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa umetoa wito wa kuboreshwa mazingira ya kiusalama na kuandaliwa uwanja wa kurejea nchini Myanmar wakimbizi watoto wa Kiislamu wa jamii ya Rohingya walioko nchini Bangladesh.

  • UNICEF yatahadharisha kuhusiana na hali mbaya ya watoto Sudan Kusini

    UNICEF yatahadharisha kuhusiana na hali mbaya ya watoto Sudan Kusini

    Jan 20, 2018 23:41

    Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa UNICEF umetahadharisha kuhusu hali mbaya inayowakabili watoto katika nchi changa ya Sudan Kusini.

  • Nusu ya raia wa Jamhuri ya Afrika ya Kati wanahitajia misaada ya kibinadamu

    Nusu ya raia wa Jamhuri ya Afrika ya Kati wanahitajia misaada ya kibinadamu

    Dec 31, 2017 11:05

    Nusu ya raia wa Jamhuri ya Afrika ya Kati wanahitajia misaada ya kibinadamu huku kukitolewa miito ya kuwasaidia haraka raia hao.

  • Unicef na Shirika la Kimataifa la Wahajiri: Watoto wahajiri elfu 36 wanahitaji msaada huko Libya

    Unicef na Shirika la Kimataifa la Wahajiri: Watoto wahajiri elfu 36 wanahitaji msaada huko Libya

    Dec 19, 2017 04:19

    Mfuko wa Kuhudumia Watoto wa Umoja wa Mataifa (Unicef) na Shirika la Kimataifa la Wahajiri (IOM) jana yalieleza kuwa watoto wahajiri karibu elfu 36 wanahitaji msaada huko Libya na kwamba elfu 14 kati yao hawana wazazi.

  • UNICEF: Watoto Sudan Kusini wanakabiliwa na hali mbaya

    UNICEF: Watoto Sudan Kusini wanakabiliwa na hali mbaya

    Dec 16, 2017 11:56

    Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa (UNICEF) umetahadharisha kuhusu hali mbaya ya watoto katika nchi ya Sudan Kusini.

  • UNICEF: Watoto milioni 180 duniani, wakiwamo Watanzania hawana mustakabali mwema

    UNICEF: Watoto milioni 180 duniani, wakiwamo Watanzania hawana mustakabali mwema

    Nov 20, 2017 23:10

    Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia watoto UNICEF limesema licha ya hatua zilizopigwa kimataifa, mtoto 1 kati ya 12 duniani wanaishi katika nchi ambazo matarajio yao leo ni mabaya kuliko ya wazazi wao.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS