-
Iran: Mhimili wa Muqawama hauwezi kufutwa kwa silaha na kwa kuuawa shahidi viongozi wake
Jan 06, 2025 03:07Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Sayyid Abbas Araghchi ameuelezea Mhimili wa Muqawama kuwa ni "Piganio Takatifu" lisiloweza kufutwa kwa silaha na kwa kuuawa shahidi viongozi wake.
-
Jumbe za kisiasa za matembezi ya makumi ya mamilioni ya watu katika Arubaini ya Imam Husseini (as)
Sep 07, 2023 06:29Jana tarehe 20 Swafar 1445 Hijiria, sawa na tarehe 6 Septemba 2023 Miladia ilisadifiana na Arubaini ya Imam Hussein (as) mjukuu wa Mtume Mtukufu (saw) aliyeuawa kinyama na maadui wa Uislamu katika jangwa la Karbalaa, akiwa na familia pamoja na wafuasi wake wachache waaminifu. Vile vile ilikuwa siku ya mwisho ya matembezi ya makumi ya mamilioni ya watu katika kuadhimisha Arubaini ya mtukufu huyo (as).
-
Qalibaf: Siri ya ushindi wa Iran ya Kiislamu ni umoja baina ya Mashia na Masuni
Oct 09, 2022 08:10Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) amesema kuwa siri ya ushindi wa nchi hii katika sekta mbalimbali ni kuwepo umoja baina ya Masuni na Mashia na kusisitiza kuwa, Waislamu wa Kisuni na pia wa Kishia waliifanya Iran kuwa imara zaidi na yenye nguvu wakati wa kujihami kutakatifu na katika matukio ya ndani kupitia umoja na dhamira yao thabiti.
-
Mchango wa Maulamaa wa Kishia (38)
Jan 30, 2022 06:50Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wasikilizaji wapenzi wa Idhaa ya Kiswahili ya Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran popote pale yanapokufikieni matangazo haya, kutoka hapa Tehran.
-
Mchango wa Maulamaa wa Kishia Katika Uislamu (37)
Jan 10, 2022 16:50Assalaam alaykum wapenzi wasikilizaji popote pale yanapokufikieni matangazo haya ya Idhaa ya Kiswahili, Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Mchango wa Maulamaa wa Kishia Katika Uislamu (36)
Dec 16, 2021 05:09Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wasikilizaji wapenzi wa Idhaa ya Kiswahili ya Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran popote pale yanapokufikieni matangazo haya.
-
Mchango wa Maulamaa wa Kishia (26) +SAUTI
Jul 18, 2021 05:42Karibuni katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Mchango wa Maulamaa wa Kishia Katika Uislamu ambacho huwatambulisha na kuwazungumzia Maulamaa wakubwa wa Kishia, mchango wao katika Uislamu pamoja na vitabu na athari zao.
-
Serikali ya Saudia yabomoa msikiti mwingine wa Waislamu wa Kishia
Apr 24, 2021 12:38Mabuldoza ya utawala wa Aal Saud yamebomoa msikiti mwingine ulioko kandokando ya mji wa Qatif ambao wakazi wake ni Waislamu wa madhehebu ya Shia mashariki ya Saudi Arabia.
-
Nukta kadhaa kuhusu safari ya Papa Francis huko Iraq
Mar 10, 2021 02:19Safari ya siku tatu ya Papa Francis Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani huko Iraq ambayo ilianza Ijumaa iliyopita imemalizika.
-
Mchango wa Maulamaa wa Kishia (17) +SAUTI
Jan 09, 2021 11:03Assalaamu Alaykum wapenzi wasikilizaji popote pale mlipo hususan huko nyumbani Afrika Mashariki.