-
Mchango wa Maulamaa wa Kishia Katika Uislamu (14) +SAUTI
Jun 27, 2020 10:45Ni matumaini yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji popotev pale mlipo. Karibuni katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Mchango wa Maulamaa wa Kishia Katika Uislamu ambacho huwatambulisha na kuwazungumzia Maulamaa wakubwa wa Kishia, mchango wao katika Uislamu pamoja na vitabu na athari zao
-
Mchango wa Maulamaa wa Kishia Katika Uislamu (12) +SAUTI
Jun 27, 2020 10:31Assalaamu Alaykum wapenzi wasikilizaji popote pale mlipo hususan huko nyumbani Afrika Mashariki. Karibuni katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Mchango wa Maulamaa wa Kishia Katika Uislamu, ambacho huwatambulisha na kuwazungumzia wanazuoni wakubwa wa Kishia, mchango wao katika Uislamu pamoja na vitabu na athari zao
-
Mchango wa Maulamaa wa Kishia Katika Uislamu (2) +SAUTI
Feb 15, 2020 08:51Assalaamu Alaykum Wapenzi Wasikilizaji wa Radio Tehran, Idhaa ya Kiswahili Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran popote pale mlipo. Karibuni kujiunga nami tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki kipya cha Mchango wa Maulamaa wa Kishia Katika Uislamu.
-
Utawala wa Bahrain wawakamata wanazuoni wa Kishia
Sep 08, 2019 02:35Utawala wa kiimla wa Bahrain umewakamata wanazuoni kadhaa wa Kiislamu wa madhehebu ya Shia katika mwezi huu wa Muharram.
-
Utawala wa Bahrain unapanga mikakai ya kuwafuta kazi walimu wa Kishia
Aug 26, 2019 12:02Duru za habari nchini Bahrain zimeripoti kuwa, utawala wa Aal Khalifa nchini humo unapanga mikakati ya kuwatimua maelfu ya walimu Waislamu wa madhehebu ya Shia wa nchi hiyo.
-
Kwa dhambi gani ameuawa?
Feb 20, 2019 08:44Mwaka 61 Hijria koo la mtoto mchanga aliyekuwa na umri wa miezi sita tuu wa mjukuu wa Mtume wetu Muhammad (saw), Imam Hussein bin Ali bin Abi Twalib (as) likatwa kwa mshale wa adui wa Allah na Mtume wake aliyejulikana kwa jina la Harmala katika medani ya Karbala.
-
Maulama wa Suni na Shia Lebanon wasisitizia mapambano dhidi ya ugaidi
Oct 21, 2017 16:24Maulama wa Kiislamu wa madhehebu za Shia na Suni nchini Lebanon wanesema kuwa kufeli mradi kabambe wa Marekani na Israel kupitia ugaidi, hakuna maana ya kumalizika kwa vita na wametoa wito wa kuendelezwa muqawama kwa ajili ya vita vya baadaye.
-
Usalama Iran unatokana na umoja wa Mashia na Masuni
Sep 02, 2017 02:28Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu Iran amesema usalama uliopo hivi sasa nchini umetokana na umoja na mshikamano uliopo baina ya Waislamu wa madhehebu za Shia na Suni.
-
Mtoto aaga dunia baada ya kujeruhiwa kwa risasi na askari wa Saudia
Aug 09, 2017 17:07Mtoto mmoja aliyekuwa amejeruhiwa kwa kupigwa risasi na askari wa Saudi Arabia katika mji wa Awamiyah wanapoishi Waislamu wa madhehebu ya Shia ameaga dunia.
-
Maana ya Umoja na Mshikamano Baina ya Waislamu
Dec 11, 2016 10:50Assalamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakatuh. Hamjambo na karibuni kuwa nami katika kipindi cha kwanza cha mfululizo wa makala maalumu za Wiki ya Umoja wa Kiislamu zinazokujieni kwa mnasaba wa sherehe za Maulidi na tukio muhimu la kuzaliwa Mtume wa rehma na upendo, Muhammad (saw) katika mwezi huu wa Mfunguo Sita .