-
Maana ya Umoja na Mshikamano Baina ya Waislamu
Dec 11, 2016 07:20Assalamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakatuh. Hamjambo na karibuni kuwa nami katika kipindi cha kwanza cha mfululizo wa makala maalumu za Wiki ya Umoja wa Kiislamu zinazokujieni kwa mnasaba wa sherehe za Maulidi na tukio muhimu la kuzaliwa Mtume wa rehma na upendo, Muhammad (saw) katika mwezi huu wa Mfunguo Sita .
-
Njama za maadui za kuzusha mifarakano baina ya Shia na Sunni nchini Iran zimeshindwa
Oct 27, 2016 06:37Mwakilishi wa Faqihi Mtawala nchini Iraq amesema njama za maadui wa Uislamu za kuzusha hitilafu na mifarakano kati ya Shia na Sunni nchini Iran zimeshindwa kutokana na umoja na mshikamano baina ya wafuasi wa madhehebu hizo.
-
Maulamaa wa Bahrain watoa taarifa ya kumuunga mkono Sheikh Issa Qassim
Sep 26, 2016 10:47Maulamaa wa Bahrain leo wametoa taarifa yao katika siku ya kumi ya kukusanyika raia wa nchi hiyo mbele ya nyumba ya mwanazuoni huyo wa ngazi ya juu wa nchi hiyo.
-
Wanazuoni wawili wa Kishia wa Saudia watiwa mbaroni Makka
Aug 31, 2016 23:24Askari usalama wa Saudi Arabia wamewatia mbaroni wanazuoni wawili wa Kishia wa nchini humo.
-
Utawala wa Saudia wamkamata mwanazuoni mkubwa wa Kishia
Jul 12, 2016 12:32Saudi Arabia imemkamata mwanazuoni mkubwa wa Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini humo, huku utawala huo wa kifalme ukiendelea kubana harakati za kidini za raia wa maeneo ya mashariki yenye utajiri mkubwa wa mafuta.
-
Shekhe Mkuu wa al-Azhar aunga mkono umoja baina ya Shia na Suni
May 22, 2016 23:04Shekhe Mkuu wa al Azhar nchini Misri amesisitiza kwa mara nyengine tena kuwa Shia na Suni ni mbawa mbili za Uislamu na zinapaswa kukaribiana zaidi na zaidi.
-
Wanawake Waislamu wa Kishia na Kisuni nchini Marekani wafanya kongamano la pamoja
Apr 30, 2016 23:52Wanawake wa Kiislamu wa madhehebu za Shia na Suni katika jimbo la Ohio nchini Marekani wamefanya kongamano maalumu ili mbali na kuzidi kuelewana, kuonesha kuwa masuala yanayowaunganisha pamoja ni mengi zaidi kulinganisha na wanayohitilafiana.
-
Malengo na mbinu za Wamagharibi katika kueneza chuki dhidi ya Iran na Uislamu
Apr 20, 2016 01:33Baada ya kusambaratika mfumo wa ncha mbili wa kambi za Magharibi na Mashariki, jumuiya ya kimataifa ingali katika kipindi cha mpito. Katika kipindi hiki cha mpito, nchi za Magharibi zinazodai kuwa na utamaduni bora zinadai kuwa kufuatia kusambaratika mfumo wa Kikomunisti, hakuna tena chaguo jngine isipokuwa Demokrasia ya Kiliberali katika dunia.
-
Ayatullah Rafsanjani: Umoja baina ya Shia na Suni ni jambo lenye ulazima
Mar 13, 2016 00:01Mkuu wa Halmashauri ya Kuainisha Maslahi ya Mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema umoja baina ya Shina na Suni una umuhimu mkubwa mno hususan katika hali na mazingira tete na hasasi yanayoshuhudiwa hivi sasa katika eneo la Mashariki ya Kati na ulimwenguni.
-
Kuzusha vita baina ya Waislamu wa Kishia na Kisuni, lengo kuu la Marekani
Mar 06, 2016 21:47Mkuu wa kitengo cha habari na malezi cha Chuo Kikuu cha al Mansoura cha nchini Misri amesema, kuzusha vita baina ya Waislamu wa Kisuni na Kishia ndilo lengo kuu la Marekani katika njama zake za kuwarafakanisha Waislamu.