Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Utawala wa Kizayuni

  • Mauritania yakanusha kiuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni

    Mauritania yakanusha kiuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni

    Mar 15, 2023 07:36

    Serikali ya Mauritania imekanusha madai ya utawala wa Kizayuni wa Israel kuwa inafanya nao mashauriano ya kuanzisha uhusiano wa kawaida wa kidiplomasia.

  • Barghouthi: Hitilafu zinazoizonga Israel zinadhihirisha kiwango cha ufashisti na ubaguzi wa utawala huo

    Barghouthi: Hitilafu zinazoizonga Israel zinadhihirisha kiwango cha ufashisti na ubaguzi wa utawala huo

    Mar 13, 2023 22:38

    Katibu Mkuu wa Harakati ya Ubunifu wa Kitaifa ya Palestina amesisitiza namna hitilafu na migawanyiko inayoikabili Israel sasa inavyodhihirisha kwa walimwengu kiwango cha ufashisti na ubaguzi wa utawala huo ghasibu na kueleza kuwa muqawama wa Palestina unaweza kustafidi na fursa ya mfarakano huu unaoukabili utawala wa Kizayuni.

  • Rais wa Palestina: Walimwengu chukueni hatua za kuzuia ugaidi wa Israel

    Rais wa Palestina: Walimwengu chukueni hatua za kuzuia ugaidi wa Israel

    Mar 07, 2023 22:53

    Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina ameitaka jamii ya kimataifa kukomesha ugaidi wa Israel na kufanya juhudi za kuhitimisha uvamizi na ukaliaji ardhi kwa mabavu unaofanywa na utawala huo wa Kizayuni.

  • Waziri mwenye itikadi kali wa Israel aamuru kubomolewa nyumba za Wapalestina mwezi wa Ramadhani

    Waziri mwenye itikadi kali wa Israel aamuru kubomolewa nyumba za Wapalestina mwezi wa Ramadhani

    Mar 06, 2023 23:04

    Waziri mwenye misimamo ya kupindukia mipaka wa usalama wa ndani wa utawala wa haramu wa Israel ametoa amri ya kuharibiwa nyumba za wananchi wa Palestina katika mwezi mtukufu wa Ramadhani.

  • Walowezi wa Kizayuni waendeleza vitendo vya kuuvamia msikiti wa al-Aqswa

    Walowezi wa Kizayuni waendeleza vitendo vya kuuvamia msikiti wa al-Aqswa

    Mar 06, 2023 04:04

    Makumi ya walowezi wa Kizayuni wameuvamia tena Msikiti wa al-Aqswa huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu na kuuvunjia heshima msikiti huo mtakatifu.

  • Iran yauonya utawala wa Kizayuni kwa bwabwaja zake, yasema umekiuka sheria za kimataifa

    Iran yauonya utawala wa Kizayuni kwa bwabwaja zake, yasema umekiuka sheria za kimataifa

    Mar 03, 2023 23:26

    Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa, Amir Saeid Iravani, amesema bwabwaja za hivi karibuni za maafisa wa Israel ni ukiukaji wa sheria za kimataifa na Mkataba wa Umoja wa Mataifa.

  • Ombi la Umoja wa Afrika la kukatwa uhusiano na utawala wa Kizayuni wa Israel

    Ombi la Umoja wa Afrika la kukatwa uhusiano na utawala wa Kizayuni wa Israel

    Feb 25, 2023 08:38

    Nchi 55 wanachama wa Umoja wa Afrika zimetoa wito wa kuvunjwa uhusiano wao na utawala wa Kizayuni wa Israel na kuutaja utawala huo kuwa ni dola la kikoloni.

  • Katibu Mkuu wa Jihadul-Islami: Damu ya Mashahidi itailetea ushindi Palestina

    Katibu Mkuu wa Jihadul-Islami: Damu ya Mashahidi itailetea ushindi Palestina

    Feb 25, 2023 03:39

    Katibu Mkuu wa Harakati ya Jihadul-Islami ya Palestina amepongeza mchango wa kijihadi wa Mashahidi wa ardhi hiyo katika kukabiliana na adui Mzayuni na akasema, damu za Mashahidi hao ndizo zitakazoiletea ushindi Palestina.

  • Wataalamu: Netanyahu 'hana ubavu' wa kukabiliana na wanamapambano wa Palestina

    Wataalamu: Netanyahu 'hana ubavu' wa kukabiliana na wanamapambano wa Palestina

    Feb 23, 2023 06:38

    Wataalamu mbalimbali wa kijeshi wa Israel wametoa maneno makali ya kumlaumu waziri mkuu mwenye misimamo ya kufurutu ada, Benjamin Netanyahu na kusema kuwa, hana uwezo wa kukabiliana na mashambulio ya makombora ya wanamapambano wa Palestina.

  • Nchi za Kiarabu zalaani mashambulizi ya wanajeshi wa Kizayuni huko Nablus

    Nchi za Kiarabu zalaani mashambulizi ya wanajeshi wa Kizayuni huko Nablus

    Feb 23, 2023 02:45

    Baadhi ya nchi za Kiarabu zimelaani jinai mpya iliyotekelezwa na Maghasibu wa Kizayuni dhidi ya Wapalestina katika mji wa Nablus.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS