-
Netanyahu: Makao ya Bunge na Serikali ya Israel yatakuwa Baitul Muqaddas
Jan 11, 2018 12:56Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel amesema makao ya bunge na serikali ya utawala huo haramu yatahamishiwa mji wa Baitul Muqaddas.
-
Utawala wa Kizayuni wakiri kuwauwa kwa umati Wapalestina
Jan 08, 2018 04:46Polisi ya utawala wa Kizayuni imetangaza kuwa Wapalestina 201 ambao kuanzia mwezi Oktoba mwaka 2015 walishiriki katika oparesheni dhidi ya utawala huo wameuliwa hadharani.
-
Sheria ya "adhabu ya kifo" dhidi ya Wapalestina walioshiriki katika operesheni dhidi ya Israel; ugaidi wa kiserikali
Jan 06, 2018 04:12Hatua ya Bunge la Israel ya kupasisha sheria ya "adhabu ya kifo" dhidi ya Wapalestina walioshiriki katika mashambulizi dhidi ya malengo ya Israel ambayo yamepelekea kuuawa Wazayuni, imekabiliwa na upinzani mkali wa maafisa wa Palestina na Umoja wa Ulaya.
-
Jumatano tarehe 27 Disemba, 2017
Dec 26, 2017 23:10Leo ni Jumatano tarehe 8 Rabiuthani, 1439 Hijria sawa na 27 Disemba, 2017
-
Ayatullah Ahmad Jannati: Hatua yoyote iliyo dhidi ya Uislamu itashindwa
Dec 26, 2017 00:16Ayatullah Ahmad Jannati, Katibu wa Baraza la Kulinda Katiba ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, hatua yoyote ile iliyo dhidi ya Uislamu na Waislamu itashindwa na kusambaratika.
-
Wazayuni wavamia sehemu alipozaliwa Nabii Issa (Yesu) wawapiga mabomu Wakristo (+ Picha, Video)
Dec 24, 2017 13:11Bila ya kujali utukufu wa eneo alipozaliwa Nabii Isa AS, kwa mara nyingine jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel limeuvamia mji wa Baytullahm (Bethlehem) na kuwashambulia kwa mabomu ya kutoa machozi Wapalestina waliokuwa wanaandamana kupinga siasa za kiuadui za Marekani dhidi ya eneo hilo takatifu.
-
Syria yaahidi kujibu jinai zote za Israel nchini humo
Dec 22, 2017 00:54Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Syria ameuonya utawala wa Kizayuni na kuuhakikishia kuwa Damascus itajibu mashambulizi yote yanayofanywa na Israel katika ardhi ya Syria.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Ufaransa atembelea Libya
Dec 22, 2017 00:45Waziri wa Mambo ya Nje wa Ufaransa, Jean-Yves Le Drian ameyataka makundi hasimu nchini Libya kuheshimu juhudi za upatanishi za Umoja wa Mataifa na kujiandaa kwa ajili ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2018
-
Sisitizo latolewa la kuundwa jeshi la kimataifa la kukabiliana na utawala wa Kizayuni wa Israel
Dec 21, 2017 12:46Mshauri wa Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesisitizia udharura wa kuundwa jeshi la kimataifa la kukabiliana na vitisho vya utawala wa Kizayuni wa Israel na kuongeza kwamba lengo la kuundwa jeshi hilo ni kurejesha haki za wananchi wa Palestina.
-
Quds, Kituo cha Dini za Mwenyezi Mungu -1
Dec 19, 2017 07:55Miaka mia moja baada ya kutolewa Azimio la Balfour (Balfour Declaration) la waziri wa wakati huo wa mambo ya nje wa Uingereza akiafiki kuundwa dola la Kiyahudi katika ardhi ya Palestina, Donald Trump, Rais wa sasa wa Marekani ameitangaza Quds tukufu (Jerusalem) na Baitul Muqaddas, Kibla cha Kwanza cha Waislamu wote, kuwa ni mji mkuu wa utawala huo bandia wa Israel.