-
Ijumaa tarehe 09 Juni, 2017
Jun 08, 2017 22:01Leo ni Ijumaa tarehe 14 Ramadhani 1438 Hijria, sawa na tarehe 9 Juni, 2017.
-
Hasira za Israel baada ya Umoja wa Mataifa kuunga mkono kuundwa nchi huru ya Palestina
Jun 07, 2017 06:10Danny Danon Balozi wa Utawala wa Kizayuni katika Umoja wa Mataifa amekosoa vikali matamshi ya katibu mkuu wa umoja huo Antonio Gutterres ambaye ameunga mkono uundwaji nchi huru ya Palestina.
-
Utawala wa Kizayuni waipongeza Saudia kwa kukata uhusiano na Qatar
Jun 06, 2017 03:38Waziri wa Vita wa utawala haramu wa Israel amekaribisha hatua ya Saudi Arabia na baadhi ya nchi za Kiarabu ya kukata mahusiano yao na taifa la Qatar na kusema kuwa, hiyo ni fursa pekee kwa ajili ya Israel.
-
Jumanne, Juni 6, 2017
Jun 05, 2017 22:29Leo ni Jumanne mwezi 11 Ramadhani, 1438 Hijria mwafaka na tarehe 6 Juni 2017 Milaadia.
-
Imarati yazidi kuimarisha uhusiano na utawala haramu wa Israel
Jun 05, 2017 03:16Uhusiano wa kiraifiki baina ya Umoja wa Falme za Kiarabu au Imarati na utawala wa Kizayuni wa Israel umezidi kufichuka baada ya kubainika kuwa pande hizo mbili zina miradi ya pamoja ya kiuchumi na zinafanya mazoezi ya pamoja ya kijeshi.
-
Makombora ya Hizbullah ndio tishio kubwa zaidi kwa utawala wa Kizayuni
May 31, 2017 03:21Waziri wa zamani wa vita wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel amesema makombora ya harakati ya muqawama wa Kiislamu ya Lebanon, Hizbullah ndio hatari kubwa zaidi inayoukabili utawala huo ghasibu.
-
Rasimu ya sheria ya 'Quds Kubwa' yawasilishwa kwenye bunge la utawala wa Kizayuni
May 30, 2017 23:40Wabunge wawili wa mrengo wa kulia katika bunge la utawala wa Kizayuni wa Israel Knesset wamewasilisha kwenye bunge hilo rasimu ya sheria iliyopewa jina la 'Quds Kubwa'.
-
Wazayuni waitaka Marekani iendelee kuliunga mkono kundi la Daesh (ISIS)
May 26, 2017 23:51Baadhi ya maafisa wa jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel wameishauri Marekani kuwa haipasi kundi la kigaidi la Daesh (ISIS) litokomezwe kwa sababu kundi hilo halijawahi kuwa tishio na hatari kwa Israel.
-
Jumatano, 24 Mei, 2017
May 23, 2017 21:46Leo ni Jumatano tarehe 27 Shaaban 1438 Hijria sawa na tarehe 24 Mei mwaka 2017 Miladia.
-
Jihadul-Islam, yauonya vikali utawala wa Kizayuni wa Israel
May 16, 2017 03:50Brigedia ya Quds tawi la harakati ya muqawama ya Jihadul-Islami ya Palestina sambamba na kuonyesha picha na video kuhusiana na mwendelezo wa siasa za sasa za utawala huo dhidi ya taifa la Palestina na Ukanda wa Gaza, imetoa indhari kali kwa utawala huo.